AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,756
- Thread starter
-
- #21
Yaani njaribu kupronounc vile ambavyo ningeweza kuongea kwa saut...Utakuta mtoa mada anajiona na yeye ni great thinker.[emoji23][emoji23]
Na hutakufa ukiandika kwa kiswahili kitupu.
Ujumbe umefika kunako...Hahaa mwandiko mwenyewe ndo huo. We unahisi kuna kingine kichwani mwake zaidi ya ukungwi.
Ndivyo inavyotamkwa...na inavyojulikana...nenda kachek Oxford dictionary... Sio Roll model...
Yule akipigwa msasa na ras ananyoosha lugha manake tatizo lake kubwa ni your na you are
Ila huyu sijui itakuwaje
Kwani nimekuja kuomba kazi hapa...mpaka nikuandikie kama naandika inshaa...Nirudi kwa mtoa mada. Siku nyingine unapoleta uzi hakikisha lugha iliyotumika ni sahihi 100β na kanuni za kiuandishi kufuatwa.
Vinginevyo huwa tunaweka mada pembeni harafu tunaanza kujadili makosa ya lugha na kiuandishi.
Yaani utatamani uzi uufute na bahati mbaya haiwezekani.
Ndivyo inavyotamkwa...na inavyojulikana...nenda kachek Oxford dictionary... Sio Roll model...
We jamaa kama lugha huijui si utumie kiswahili. Mbona nyuzi nyingi sana kuhusu ulichokisema humu zinaanzishwa na wanaume, kwani mnateseka?
Jaribu kuangalia jinsi ya kumsaidia angalau apunguze.
Maana hata uandishi wa kiswahili nao sijauelewa.
Kuna kipande king kiba alisemaga mwanamke akipenda basi kapenda kweli.(jipongeze umependwa kweli)
Kama nasahaulika kwenye vitu vidogo kama hivi ngoja nijiongeze.
[emoji124][emoji124][emoji124]Kiroho safi nitafanyaje tena[emoji20][emoji20]
Nina uhakika na ninachokiongea...nililifanyia utafiti hili nikaona wengi kama wewe wanakosea jinsi inavyoandikwa...tofaut na wanavyotamka...Napenda sana watu wanaojiamini ila kama binadamu kuna kukosea
Yani kweli sipendwi
Unanipa mwanaume nimfundishe???hebu nianze kujitoa
Kumbe na wewe umeona kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hea hostegi chiiiiiiiiiiiii
Nina uhakika na ninachokiongea...nililifanyia utafiti hili nikaona wengi kama wewe wanakosea jinsi inavyoandikwa...tofaut na wanavyotamka...
Kwa hiyo walengwa waendelee kutoa mapovu au wasubiri hadi jamaa afanye editing ya uzi wake ?Nimekupa Like kubwa kwa sababu umeandika wazo kubwa. Ila umeshindwa kulielezea vizuri. Ila umeeleweka sana na ujumbe umewafikia walengwa.
Kumbe na wewe umeona kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hea hostegi chiiiiiiiiiiiii
You are na your zinawachanganya wengi sijui ni ushamba au ujinga wa lughaYule akipigwa msasa na ras ananyoosha lugha manake tatizo lake kubwa ni your na you are
Ila huyu sijui itakuwaje
Thubutuuuuu kingereza cha chato hiko labdaYeye anasema yupo sawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni role model sio raw model, wewe kiaziNdivyo inavyotamkwa...na inavyojulikana...nenda kachek Oxford dictionary... Sio Roll model...