Eti "Kwahiyo wewe ukitongoza mara moja tu basi?"

Eti "Kwahiyo wewe ukitongoza mara moja tu basi?"

Mimi huwa sitongozagi mwanamke, huwa natengneza mazingira tuu. Hata kama nikitongoza bas ni mara 1 tuu akiwa analegalega basi ndo imetoka hiyo na anakua amekosa bahati narudia tena anakua amekosa bahati

Sasa huyu binti wa hapa kwenye mini supermarket njia yetu hii ya eti analaumu kwamba mimi sijui nikoje baada ya kufahamiana nae na kua nachkua bidhaa hapo hata kama sihitaj ilimrad nipite tuu sku1 ikabid nichkue namba chating zkaendelea.

Namwambia basi afanye namna aje tuonane au aje kwangu kabisa, ooh eti ofisi imembana kila siku. Wiki ya pili hii tangu nimemwambia aje nikasema basi sawa.

Sasa sjui hiyo ofisi kawekwa na njemba hiyo mim sitaki kujua excuse nyiingi nika mpotezea analaumu et mbona sio kinganganizi nikasema huyu hanijui vizuri

Actualy leo anatoka mapema anakuja kwangu bila hata kumkumbusha actualy nahisi naweza kula leo leo

NB: Zingatia nimeacha sana elfu kum kum pale za chenji, dahh. Enewei, watoto wakali lazma uingie gharama

Uzi tayar

(Zingatia...sio mwanafunz.usiseme mambo ya shule kufunguliwa..mim ni mtu mzima mwenye kende zangu)
lete mrejesho
 
ZINAAA, UZINZI NA KUJIONA UNAPESA HIVYO UNAWEZA FANYA UCHAFU WOWOTE...UTAKUA ANGUKO LAKO.

Be careful MAAMUZI YA LEO MATOKEO YA KESHO
 
jua lile literemke mama, wapinzani watetereke mama,

Magufuli hai, hai hai
Majaliwa hai, hai hai
 
Back
Top Bottom