Eti kipofu anaotaga vidio au Audio? Naombeni mnisaidie

Duh!! Nadhani baada ya mafanikio ya Operesheni tokomeza Viroba, sasa mkazo uongezwe katika operesheni tokomeza bangi!! Kwa post kama hizi, zinahitajika extraordinary measures kuzuia bangi!!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unamuulizia mtu ambae amepitia maisha ya upofu na ukiziwi au mtu anae tarajia hali hiyo?
JIFANYE KUWA MTU MZIMA KAMA UMRI HUO BADO HUJAFIKIA
KWA KUWA UNAHALI AMBAYO MAJIBU YA SWALI LAKO HUWEZI KUYAPATA BASI KUJITOBOA WEWE MWENYEWE HAITOSHI
Na hata ukitobolewa huwezi kupata majibu sahihi kwa sababu tayari umepitia maisha ya uzima
SIMULIA SANA, CHEKA SANA LAKINI OMBA YASIKUKUTE
 
Back
Top Bottom