kuolewa kunawakata vidomodomo/ngebe wachongaji mtaani.Kuolewa kuna heshima yake..
kuachana ni majaliwa/sababu iwe inakubalika
jameni! kuliko kuolewa nikaachika ni bora nisiolewa,thats why ni bora ukafanya chaguo sahii mwanzoni kuliko kuingia then ukatoka!!
wanasema eti kuolewa ni kusafihsa nyota! ata ukikaa kwenye ndoa kwa masaa 2!!! mmh!! namkumba shekh yahya jameni!!Nakuunga mkono kabisa. Bora kutokuolewa kuliko kuolewa na kuachika. Maana ukiachika heshima inatoka wapi km ndoa imekushinda?Kwanza ndoa za siku hizi unaolewa, alafu unakuwa nawenzako nje km kumi walioolewa kinyemela. Km mumeo hakuheshimu anakutafutia nyumba ndogo, unataka nani akuheshimu na ndoa yako?
Hiyo inaaply kwa watu wanaoolewa for the wrong reasons...
Hiyo inaaply kwa watu wanaoolewa for the wrong reasons...
kabisaaaaaheshima haiji kwa kuoa/kuolewa/kutokuoa/kutokuolewa.
Tabia ndo msingi wa kuheshimiwa!
Na ntakudai mpaka ukome....lolzShort and clear!!! Unanidai 'like' kabisaaa........
Insecurity at its best. Kuolewa kwa heshima tu?!!!!
Nimeamini, ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii