Eti kila mwanamke ni mrembo?

Eti kila mwanamke ni mrembo?

Hahahaaa vululuvululu halafu bado unalala nae duh, but ukitaka kuendana nae ni kazi raisi sana mpreke maeneo husika e.g saloon, shopping siku moja tu atabadirika yaani mpaka utaanza kuweka walinzi. Teh teh teh.
 
duuuhhhhhh Mapenzi siku hizi mmhhhh ghali sana.

Na je yeye kianza kuweka masharti yake
mfano sitaki uwe na nywele mahili popote pale mwilini
"nataka u wax"kila sehemu . Je utatimiza?

au hii ndo ile tunayoita "one way traffic".
 
Kama kweli unampenda jitahidi kumbadilisha aendane na mwonekano unaotaka, ila usimpotezee muda.
Kuna siku moja jioni wakati natoka job nikakutana na mdada mmoja ana soma uhasibu Arusha nikamtongoza akanikubali, Sasa tatizo ni moja, mimi napenda avae vizuri aende saloon na ajiweke ninavyotaka kwa sababu yupo vululuvululu kwasasa, yaani mpaka kuongozana nae siwezi.

Nianzeje kumwambia ? cause now kila siku anakuja kulala kwangu.

Namimi naona nipo Kigoma mwisho wa reli.
 
Kuna siku moja
jioni wakati natoka job nikakutana na mdada mmoja ana soma uhasibu
Arusha nikamtongoza akanikubali, Sasa tatizo ni moja, mimi napenda avae
vizuri aende saloon na ajiweke ninavyotaka kwa sababu yupo vululuvululu
kwasasa, yaani mpaka kuongozana nae siwezi.

Nianzeje kumwambia ? cause now kila siku anakuja kulala kwangu.

Namimi naona nipo Kigoma mwisho wa reli.

kama unampenda mwambie kuwa unataka awe ivi na ivi au mpe hera mwambie aende saloon, madukan, anza kumununulia nguo atabadilika
 
Kila mwanamke ana uzuri wake mfahamishe tu vile unavyopenda
 
Mkuu sijakusoma "Hajui alitendlo, akikua atajirekebisha"Mbona unamaana mbili tofauti! kwma ni mchafu au huyu jamaa anataka apige swaga za kishua afungue pochi tu apo aone mtoto alivyo bomba sio suala la kukua apo. Mashiko tu
Msamehe tu mkuu thebigbobo kwani kiumbe huyo hajui alitendalo. akikua atajirekebisha kwani hizo ni kasoro ndogo ndogo au yawezekana hayo ndio maisha yake halisi ila wewe una mletea swaga za kishua
 
mmmmh nahis kutoelewa....waiter niletee bapa nyingine ya konyagi please.
 
Back
Top Bottom