thebigbobo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 168
- 17
Kuna siku moja jioni wakati natoka job nikakutana na mdada mmoja ana soma uhasibu Arusha nikamtongoza akanikubali, Sasa tatizo ni moja, mimi napenda avae vizuri aende saloon na ajiweke ninavyotaka kwa sababu yupo vululuvululu kwasasa, yaani mpaka kuongozana nae siwezi.
Nianzeje kumwambia ? cause now kila siku anakuja kulala kwangu.
Namimi naona nipo Kigoma mwisho wa reli.
Nianzeje kumwambia ? cause now kila siku anakuja kulala kwangu.
Namimi naona nipo Kigoma mwisho wa reli.