Jana rafiki yangu ame break up na boyfriend wake. baada ya kuuliza kisa ameniambia kwamba huyo bwana anavuja jasho kama mvua.
Wakifanya mapenzi ni kama yupo nje ananyeshewa na mvua kwa jinsi huyo mwanaume anavyovuja jasho, mashuka yote yanalowana, inamkera sana especially wakiwa kwenye kifo cha mende. yale majasho yote yana mmwagikia yeye, sasa si unajua jinsi yalivyo na chumvi?
na sasahivi wapo kwenye nchi ya baridi, inakuwaje wakirudi bongo? kwenye joto.
nimecheka mpaka basi.
sijawahi kukutana na mtu wa hivi, je humu jf wapo? tatizo ni nini?ugonjwa? au
Gaga babe,sweety,honey hahaha! just kiddin umesoma ile thread ya baby ? BACK TO THE TOPIC: deodorant hazisaidii mi nilikuwa na tatizo hilo mpenzi wangu akaniambia natoka jasho sana kwenye gemu nikaanza mazoezi na tatizo likaisha.Mwambie atumie deodorant zinakata majasho, hivi hata wakitumia AC?
Mzuanda umenifanya nicheke,
Kweli hii kesi ni ngumu kuamulia, ila kama mdada hayuko comfortable na jamaa basi achape lapa bado mapema...
Haaaa hivi kumbe ni ugonjwa? na mazoezi yanasaidia kivipi? au ni tatizo kwa watu wenye weight kubwa? itabidi amwambie mjamaa aanze mazoezi japo wengine ni wagumu kukubali kwamba wana matatizoGaga babe,sweety,honey hahaha! just kiddin umesoma ile thread ya baby ? BACK TO THE TOPIC: deodorant hazisaidii mi nilikuwa na tatizo hilo mpenzi wangu akaniambia natoka jasho sana kwenye gemu nikaanza mazoezi na tatizo likaisha.
Mwambie ampe ushauri wa uporotonchi waliyopo inabaridi kuliko hiyo AC.
Mi wala sikuwa kibonge lakini kweli kuna kipindi niliacha mazoezi kabisa ikatokea hali hiyo sio jasho tu hata moyo kwenda mbio ,ukifanya mazoezi ya ukweli unakuwa umetoka jasho jingi sana,sasa ukioga vizuri na kupumzika mkianza sarakasi nakuhakikishia hutoki hata tone na mapigo ya moyo pia yapo stable.Haaaa hivi kumbe ni ugonjwa? na mazoezi yanasaidia kivipi? au ni tatizo kwa watu wenye weight kubwa? itabidi amwambie mjamaa aanze mazoezi japo wengine ni wagumu kukubali kwamba wana matatizo
hadithi za kufikirika
kweli kamchoka sidhani kama naweza mwacha mwanaume naempenda sababu analilowanisha na jashonafikiri alishamchoka kwahiyo akawa anatafuta sababu. nimejaribu kumshauri wakae waongee hata hanielewi. si unajua ukishachoka unatafuta ti sababu ili ukimbie?