Ndugu wana JF, nimekuwa nikijiuliza chanzo cha Rais wetu wa sasa kuitwa JK, nakosa uhakika kama ni sahihi tumuite hivyo au la!
Mara mwingine akaniambia ni katika harakati za kuteka umma kwa kujifananisha na Hayati Nyerere!
Maoni yangu:
Waitwe Kulingana na initial za majina yao, yaani;
Julius Kamabarage Nyerere (JKN au basi JK)
Jakaya Mrisho Kikwete (JMK au JM).