Eti JK alisaini mkataba wa IPTL?

....Patrick Rutabanzibwa akaweka ngumu pamoja na kutaka kumlainisha for $500k,akakataa mlungula......
..................na kwa uzalendo wake, akapa Mateso, sasa Tukaambiwa Katibu mkuu Nishati na Madini akajiuzulu na kuamua kurudi zake UDSM kuwa mwalimu, sasa ..
 
....Patrick Rutabanzibwa akaweka ngumu pamoja na kutaka kumlainisha for $500k,akakataa mlungula......

Huu mtiririko nimeupenda wale wanaotaka ushahidi wasubiri mtiririko wa mambo ukae sawa kwanza na kumbukumbu za watu ziboreshwe ndio ushahidi utakuja.

Kwa taarifa ni kwamba wakati IPTL inakuja bongo JK ndiye aliyekuwa bosi wa Wizara ya madini na Nishati kwa hiyo deal hii ya IPTL aliijua ndani nje.
 
Huu mtiririko nimeupenda wale wanaotaka ushahidi wasubiri mtiririko wa mambo ukae sawa kwanza na kumbukumbu za watu ziboreshwe ndio ushahidi utakuja.

Kwa taarifa ni kwamba wakati IPTL inakuja bongo JK ndiye aliyekuwa bosi wa Wizara ya madini na Nishati kwa hiyo deal hii ya IPTL aliijua ndani nje.

...INITIALLY alikuwa upande wa Patrick Rutabanzibwa (akiwa kama commisioner wa energy wakati huo),Janguo and Co upande wa IPTL.....still why did Mwandosya resign?...this is what am missing...did they differ with JK?...OVER WHAT?
 
Mwandosya alijiuzulu serikalini 1993 akiwa katibu mkuu wa viwanda na Biashara, na ni kweli alikataa kuhusika na uozo, kama kuna mtu anakumbuka issue ya Mohammed enterprises alikataa kuhusika. labda wachambuzi wanaweza kusaidia
 
Brooklyn, .....eeeh ikawaje, maana tunahamu yakujua mgongano wao pale Nishati na Madini na uzalendo wa Mwandosya kama Katibu mkuu

..Brooklyn anaogopa kukamatwa(LoL).....mimi ningali najiuliza Mwandosya aliondoka kwa nini pale WMN kama KM....maana kwa baraza la sasa la mawaziri yeye ndio angemudu ile wizara vilivyo na sio (wanawe) Ngeleja na Adamu....JK kwa nini hakumpa hiyo wizara?
 
Halafu mkimaliza la IPTL tuingie pia la madini. Tafuteni ile hotuba ambayo Kikwete aliitoa Afrika Kusini February 2007 akijisifia jinsi alivyofanya U Vasco Da Gama kuwasaka akina Sinclair, ndipo mtapojua kuwa mvunja nchi ni mwananchi.
 
Ndiyo. Mh Jakaya Mrisho Kikwete, aka JK alisaini mkataba wa IPTL kwa mkono wake mwenyewe, kwa mkono wake, mkataba wa IPTL akiwa waziri wa Nishati na madini. Nakala ya mkataba ipo TANESCO makao makuu ubungo.

Ninathibitisha kwamba ni yeye alisaini.
 
Leteni ushahidi tujadili bila jazba!

Kesi iko mahaka kuu wale wote waliohusika na mkataba wa IPTL walitajwa kwenye makala ya The East African na wao wakamfungulia mashtaka mwandishi wa ile makala pamoja na gazeti. Ni muda mrefu sasa sijui hatma ya ile kesi lakina makala ile iliyokuwa imendikwa na Brian ilikuwa imejikamilisha.
 
Rudini nyuma kidogo ....how about exit Rutihinda, enter Rashidi....IPTL ilisukwa na visiki vilivyohoji viling'olewa !!
 
Yasemekana akiwa waziri wa nishati na madini , kati ya 1992-1994 Mheshimiwa President wetu, alishiriki kusaini mkataba nyonyaji na ovyo wa IPTL. Inaweza kuwa ndio sababu ya kushindwa kuwachukulia wenzake yale yanayoitwa MAAMUZI MAGUMU. Niambieni.

Mimi kwa mawazo yangu, mikataba yote iliyosainiwa kwa kutofuata sheria/ushauri wa wataalam ambayombayo kwa sasa imekuwa vigumu kwa serikali kuitolea maamuzi, ni lazima kwa namna moja au nyingine, viongozi waliokuwa na nafasi za juu serikalini walishiriki kusaini mikataba hiyo. Hii ndo sababu imekuwa vigumu kuchukua maamuzi kwani anayopaswa achukue maamuzi, ni muusika mkuu.
Wanaodai ushaidi wako sawa, lakini kwa mawazo yangu, wangechukulia kigugumizi kinachowapata hao viongozi wanapotakiwa kuchukua maamuzi kuwa ushaidi tosha.
Yapo mengi tu ambayo yamejificha, laikini kadri siku zinavyoenda, ndo uozo wa baadhi ya viongozi wakuu serikalini (CHAMA TAWALA) unavizidi kuwa wazi.
 
Ingekuwa na manufaa makubwa kwetu japo kwa ufahamu kama tungeweza kujua watu walioingia mikataba ya Agreco, IPTL, SONGAS, SYMBION, ATMAS... Big Result Now inasababisha hawa Jamaa wahitaji mshiko mkubwa na hivyo kutupandishia bei ya umeme...
 
Back
Top Bottom