M MAJANGAMAJANGA Senior Member Joined Feb 13, 2013 Posts 179 Reaction score 93 Jun 21, 2014 #1 Habari zenu ndugu naomba kuuliza eti nikitaka kuwa askari mpelelezi natakiwa nifanyeje au vigezo gani wanaangalia na je nichuo gani kinatoa hyo mafunzo? ntashukuru xana kwa majibu yenu
Habari zenu ndugu naomba kuuliza eti nikitaka kuwa askari mpelelezi natakiwa nifanyeje au vigezo gani wanaangalia na je nichuo gani kinatoa hyo mafunzo? ntashukuru xana kwa majibu yenu