Eti! jamani nifanye ukafiri?

Eti! jamani nifanye ukafiri?

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,458
Reaction score
986
Kwanza hebu ngoja ni tangulize salamu
Habari zenu wadau, hivi munajua dawa ya moto ni moto? na chuma hakikatwi bali na chuma chenza?
Hebu ngoja niende kwenye maada husika

kuna jamaa anatembea na mdogo wangu wakike wa mwisho na ndo kwnza yupo 4m4 na yey ana mke na watoto wawili na mkewe hajui kuhusu hili swala 2memkanya sana mdogo wangu nae ndo haskii la muazini wala muweka maji mskitini, shuleni anafeli hataki kusoma yani shida
Sasa jamaa amepata kazi ya udereva wa magari makubwa amesafiri inapata wiki sasa, kijana wenu kama kwaida yangu na mawazo ya kulipa kisasi nimefanya mandinga mpaka nimepata no. ya mkewe nimetupa mawe yeye kamwaga nyuki(yani kanikubalia) na "waswahili wanasema ukimla kuku wa mwenzio miguu itakurudia" leo nina appointment ya usiku na mkewe, halafu kuna mdogo wake kike amekuja kutoka mkoa kuwatembelea nae nataka kumuonesha mji kidogo, Sio kama napenda kufanya hiv ila hakuna anaependa kuona kwake kunaharibika, Au munanishauri nini wadau kabla hakuja haribika.. agghhrr!! yani dah!
 
Kumbuka wakati unatoa adhabu, kumbuka au assume mdogo wako keshaliwa tgo ndo mana hasikii.
 
Umechagua njia isiyo sahihi dogo!

It is never right to wrong someone, even if he/she have wronged you first.
Kajipange upya!
 
mkuu itakuwaje nayeye akiamua kukufanyia ukafiri??
 
Hahaaaa, Daud Omar, kwa hilo ukilitekeleza ina maana jamaa atakuwa ame.mt.o.mb.a dada yako na wewe pia ataku.to.mba kupitia mke wake! Bonge la ushindi kwa huyo suka...e bhana eeeee!
 
Piga moyo konde kaka acra hasara usichukue sheria yoyotd mkononi tuliza kichwa,
 
wacha muambukizane ma ukimwi wee hadi mtie adabu.
 
mwambie amwoe mke wa pili kama anampenda.
 
A3udhu bilahi mina Sheytani rajim:- Mlaani shetani "take care baadhi ya Madereva hubebaga VVU" pili UkiDu na mke wa mtu hapo Double Dhambi tabu kufutika, tatu Zinaa halipwi kwa Zinaa, nne ukivunja nyumba nayako ikosiku itavunjwa bila wewe kupendelea !! tano uhusiano wa Uasherati utazaa jamii chafu na mtaani patageuka Redlights (X) na sababu ni wewe !!
Kwakila chafu litakalo tendeka utabeba percent %. Sasa fikiria 1. Ongea na Dada binti umsomeshe elimu hii ataifahamu na mpe wazi yote (kweli ya shule hayakuelewa lakini hili atalifahamu sana) 2. Ongea na mlengwa omba samahani hamtaonana mjuze sababu. 3. Weka uhusiana mtaani na Wazee itakapo tokea Uhanithi (ushoga huu) wakuhami na kukushauri. HUO NDIYO Urijali ( be like a MAN ) Mwanaume hukutana na balaa.masaybu na matatizo mengi Lakini hekima na busara na nguvu hutatua !! Na siyo Mb-o (utupu wako).
good Luck Samahani Najiepushe kutatua kosa kwa kosa lingine.
 
Mwenye haki ya kumuhukumu mdogo wako wa kike ni Mwenyezi Mungu pekee! Muache tu dunia itamfunza. Jikite kwenye kuendeleza yako na familia yako.
 
Kwanza hebu ngoja ni tangulize salamu
Habari zenu wadau, hivi munajua dawa ya moto ni moto? na chuma hakikatwi bali na chuma chenza?
Hebu ngoja niende kwenye maada husika

kuna jamaa anatembea na mdogo wangu wakike wa mwisho na ndo kwnza yupo 4m4 na yey ana mke na watoto wawili na mkewe hajui kuhusu hili swala 2memkanya sana mdogo wangu nae ndo haskii la muazini wala muweka maji mskitini, shuleni anafeli hataki kusoma yani shida
Sasa jamaa amepata kazi ya udereva wa magari makubwa amesafiri inapata wiki sasa, kijana wenu kama kwaida yangu na mawazo ya kulipa kisasi nimefanya mandinga mpaka nimepata no. ya mkewe nimetupa mawe yeye kamwaga nyuki(yani kanikubalia) na "waswahili wanasema ukimla kuku wa mwenzio miguu itakurudia" leo nina appointment ya usiku na mkewe, halafu kuna mdogo wake kike amekuja kutoka mkoa kuwatembelea nae nataka kumuonesha mji kidogo, Sio kama napenda kufanya hiv ila hakuna anaependa kuona kwake kunaharibika, Au munanishauri nini wadau kabla hakuja haribika.. agghhrr!! yani dah!

Hii mada haijanikalia vizuri siielewielewi flani
 
IT TAKES DIRTY PEOPLE TO KEEP THE WORLD CLEAN!!!!!!!!!!! Well i say DO WHAT YOU GOTTA DO!!!!!!!!!! Aint nothing gonna happen to that villan if you sit your sorry a.ss down with ya hands crossed! Unless ofcorse you make it happen! I bet you aint that sorry brother who watches her sister disrespected and YET DOES NOTHING!!!!!!!!!!

DO WHAT IS SUPPOSED TO BE DONE BOY AND LIVE UP TO THAT "BROTHER" NAME!!!!!!!!!
 
Mwenye haki ya kumuhukumu mdogo wako wa kike ni Mwenyezi Mungu pekee! Muache tu dunia itamfunza. Jikite kwenye kuendeleza yako na familia yako.

PLEASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!! This got nothin to do with God! Aint nothin neither devine nor Godly about this shit! So dont you dare bring God to hell unnecessarily!!!!!!!

Dont you think its a bit selfish to call higher powers to handle your dirty laundry, or do your dirty works which you couldnt handle your self!!!!!!!!!??????????

BOY dont let them twist you! This shit is about YOUR SISTERS HONOR AND YOU LIVING UP THAT "BROTHER" TITLE AND HONOR!!!!!!
 
IT TAKES DIRTY PEOPLE TO KEEP THE WORLD CLEAN!!!!!!!!!!! Well i say DO WHAT YOU GOTTA DO!!!!!!!!!! Aint nothing gonna happen to that villan if you sit your sorry a.ss down with ya hands crossed! Unless ofcorse you make it happen! I bet you aint that sorry brother who watches her sister disrespected and YET DOES NOTHING!!!!!!!!!!

DO WHAT IS SUPPOSED TO BE DONE BOY AND LIVE UP TO THAT "BROTHER" NAME!!!!!!!!!
Heheh lara em tumia lugha yA taifa i gues mleta mada hajareply koz hajakusoma
 
Back
Top Bottom