Eti! jamani nifanye ukafiri?

Eti! jamani nifanye ukafiri?

PLEASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!! This got nothin to do with God! Aint nothin neither devine nor Godly about this shit! So dont you dare bring God to hell unnecessarily!!!!!!!

Dont you think its a bit selfish to call higher powers to handle your dirty laundry, or do your dirty works which you couldnt handle your self!!!!!!!!!??????????

BOY dont let them twist you! This shit is about YOUR SISTERS HONOR AND YOU LIVING UP THAT "BROTHER" TITLE AND HONOR!!!!!!

Sasa lara 1 kipi ambacho unataka tumshirikishe Mungu kama si hiki?

Fikiria hili;

1. Mdogo wake ana maisha yake
2. Daud omar ana maisha yake pia na akiamua kufanya hivyo unavyomsupport atakuwa ameingia kwenye chain ndefu sana hatarishi ya kuambukizwa VVU

Kumuomba Mungu hakuna mipaka. Amuachie Mungu na yeye ndiye mwenye mamlaka yote.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hebu ngoja ni tangulize salamu
Habari zenu wadau, hivi munajua dawa ya moto ni moto? na chuma hakikatwi bali na chuma chenza?
Hebu ngoja niende kwenye maada husika

kuna jamaa anatembea na mdogo wangu wakike wa mwisho na ndo kwnza yupo 4m4 na yey ana mke na watoto wawili na mkewe hajui kuhusu hili swala 2memkanya sana mdogo wangu nae ndo haskii la muazini wala muweka maji mskitini, shuleni anafeli hataki kusoma yani shida
Sasa jamaa amepata kazi ya udereva wa magari makubwa amesafiri inapata wiki sasa, kijana wenu kama kwaida yangu na mawazo ya kulipa kisasi nimefanya mandinga mpaka nimepata no. ya mkewe nimetupa mawe yeye kamwaga nyuki(yani kanikubalia) na "waswahili wanasema ukimla kuku wa mwenzio miguu itakurudia" leo nina appointment ya usiku na mkewe, halafu kuna mdogo wake kike amekuja kutoka mkoa kuwatembelea nae nataka kumuonesha mji kidogo, Sio kama napenda kufanya hiv ila hakuna anaependa kuona kwake kunaharibika, Au munanishauri nini wadau kabla hakuja haribika.. agghhrr!! yani dah!

Ukafiri ni nini...?
 
It is absurd trying to prevent young people from having sex.....! Ni jambo zuri kuwa mdogo wako kapata opportunity ya kujiliwaza. Labda nikubaliane na wewe kuwa huyo anayetembea nae sio rika lake. Ungekuwa kaka strategist ungemtengenezea dogo mazingira ya kuliwa na madogo wenzake.....lakini hili la kuumia kwa vile analiwa uroda ni ujinga mtupu....!

Tufike mahali tukubali nguvu za maumbile ni kubwa na zina msukumo wa kipekee kwa vijana......!
 
A3udhu bilahi mina Sheytani rajim:- Mlaani shetani "take care baadhi ya Madereva hubebaga VVU" pili UkiDu na mke wa mtu hapo Double Dhambi tabu kufutika, tatu Zinaa halipwi kwa Zinaa, nne ukivunja nyumba nayako ikosiku itavunjwa bila wewe kupendelea !! tano uhusiano wa Uasherati utazaa jamii chafu na mtaani patageuka Redlights (X) na sababu ni wewe !!
Kwakila chafu litakalo tendeka utabeba percent %. Sasa fikiria 1. Ongea na Dada binti umsomeshe elimu hii ataifahamu na mpe wazi yote (kweli ya shule hayakuelewa lakini hili atalifahamu sana) 2. Ongea na mlengwa omba samahani hamtaonana mjuze sababu. 3. Weka uhusiana mtaani na Wazee itakapo tokea Uhanithi (ushoga huu) wakuhami na kukushauri. HUO NDIYO Urijali ( be like a MAN ) Mwanaume hukutana na balaa.masaybu na matatizo mengi Lakini hekima na busara na nguvu hutatua !! Na siyo Mb-o (utupu wako).
good Luck Samahani Najiepushe kutatua kosa kwa kosa lingine.

Yap! like a man
 
Moto hauzimwi na moto kaka

dawa ya moto ni moto, hiyo iko wazi, ingawa tafsiri yake haimaanishi ulipe kisasi kwa kufanya uasi. Daud omar hatua za kuchukua baada ya kumkanya mdogo wako ni kumkanya huyo jamaa, asipoelewa una haki ya kulifikisha hilo swala mbele ya sheria kwa hatua za kisheria kwani kutembea na mwanafunzi ni kosa kisheria.

Akigundua au ukifumaniwa unatembea na mkewe unaweza kufanyiwa usodoma na sio ukafiri tena.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa!
Mazombi tupo wengii!
...
Jamaa angemla mkeo ningesapoti mipango yako!
...
Kuna njia nyengine m'badala ya kutatua tatizo lako: just weka tego! Akinasa unamshtua mkewe!
Au
M'bandue mdogo wake! Unahakikisha unakula minamba kama anavyoliwa mdogo wako!!!!

Kwanza hebu ngoja ni tangulize salamu
Habari zenu wadau, hivi munajua dawa ya moto ni moto? na chuma hakikatwi bali na chuma chenza?
Hebu ngoja niende kwenye maada husika

kuna jamaa anatembea na mdogo wangu wakike wa mwisho na ndo kwnza yupo 4m4 na yey ana mke na watoto wawili na mkewe hajui kuhusu hili swala 2memkanya sana mdogo wangu nae ndo haskii la muazini wala muweka maji mskitini, shuleni anafeli hataki kusoma yani shida
Sasa jamaa amepata kazi ya udereva wa magari makubwa amesafiri inapata wiki sasa, kijana wenu kama kwaida yangu na mawazo ya kulipa kisasi nimefanya mandinga mpaka nimepata no. ya mkewe nimetupa mawe yeye kamwaga nyuki(yani kanikubalia) na "waswahili wanasema ukimla kuku wa mwenzio miguu itakurudia" leo nina appointment ya usiku na mkewe, halafu kuna mdogo wake kike amekuja kutoka mkoa kuwatembelea nae nataka kumuonesha mji kidogo, Sio kama napenda kufanya hiv ila hakuna anaependa kuona kwake kunaharibika, Au munanishauri nini wadau kabla hakuja haribika.. agghhrr!! yani dah!
 
Take this scenario: Wewe ndi mlezi wa huyu binti. Wewe ni Mzazi. Binti kapevuka, mwili una msukumonwa mapenzi. Kama mzazi/mlezi ungependa kumwona binti akimaliza vema masomo ili ajitegemee (umeshatumia raslimali nyingi na una matumaini makubwa juu ya future yake na wadogo zake kama yeye atajishughulisha). Unapata matokeo ya hovyo kutoka shuleni. unadadisi na kukuta sababu ni mapenzi na anayehusika ni baba mwenye familia yake. Binti ni familia yako, anayemharibu anayo yake ambayo asingependa iharibiwe. Hebu jivike hali hiyo kwanza. Je, utasema unamwachia Mungu ili mwanao aendelee kugegedwa na baba mwenye wanae anaowalinda wasibakwe? Hata huyo Mungu Imeandikwa huwasaidia wanaojibidisha kujikwamua!
Mkuu, hicho kikao ni muhimu kikafanyika, ukweli usemwe kwa busara ili kumwokoa binti na pia kumuadabisha huyo kubwanjinga!

PP
 
Itaki laha
Ghabudu llwaha wakana katarahu wailam tarahu wama hum waraka
Adhabi la yunsa almaliku laaayamutu kama dinu tudani
 
  • Kitakachofuata wewe Unapewa Ukimwi kutoka kwa huyo Mke wa mshkaji
  • Mdogo wako pia anaambukizwa na huyo mshkaji

Don't even think abt it. Wote mnaukwaa kutoka kwa huyo Mtu.
 
mkuu Jino kwa Jino bana,we watawanye wote mke na mdogo wake kama watakupa
 
Hee..am nt bhana i waz tryin to tel lara1 asitumia sana lugha ya watu kuadress issues au most so kumadvice mtu koz ts possible labda mhusika asielewe sana..niwie radhi mie

Usjali mkuu si unajua tena maswala ya lugha tena, ila hvyo hvyo ujumbe unafika
 
Njemba inafanya kazi ya kuendesha magari makubwa na ni lazima tu huko njiani inakopita itakuwa inaokota okota wanawake wa kila aina bila kujali afya yake, halafu nawe unataka kwenda kuingiza dudu lako kwa mkewe!!!! Kweli akili ni nywele....

Back
Top Bottom