Eti! jamani nifanye ukafiri?

Eti! jamani nifanye ukafiri?

Kwanza hebu ngoja ni tangulize salamu
Habari zenu wadau, hivi munajua dawa ya moto ni moto? na chuma hakikatwi bali na chuma chenza?
Hebu ngoja niende kwenye maada husika

kuna jamaa anatembea na mdogo wangu wakike wa mwisho na ndo kwnza yupo 4m4 na yey ana mke na watoto wawili na mkewe hajui kuhusu hili swala 2memkanya sana mdogo wangu nae ndo haskii la muazini wala muweka maji mskitini, shuleni anafeli hataki kusoma yani shida
Sasa jamaa amepata kazi ya udereva wa magari makubwa amesafiri inapata wiki sasa, kijana wenu kama kwaida yangu na mawazo ya kulipa kisasi nimefanya mandinga mpaka nimepata no. ya mkewe nimetupa mawe yeye kamwaga nyuki(yani kanikubalia) na "waswahili wanasema ukimla kuku wa mwenzio miguu itakurudia" leo nina appointment ya usiku na mkewe, halafu kuna mdogo wake kike amekuja kutoka mkoa kuwatembelea nae nataka kumuonesha mji kidogo, Sio kama napenda kufanya hiv ila hakuna anaependa kuona kwake kunaharibika, Au munanishauri nini wadau kabla hakuja haribika.. agghhrr!! yani dah!
mtafune na mdogo wako kama wewe ni kidume kweli....ndo maana huwa mnapigwa kipapai nyie vijana wa siku hizi
 
Mtume Muhamad s.a.w anasema, zinaa ni deni.
Unapozini na mke, mume, kaka, dada au mtoto wa mwenzako, unakuwa umekopa na deni hilo watakulipia wanao au mkeo au mumeo au wazazi wako.
Huyo nduguyo anaezini analipa deni, kama sio lako basi la wazazi wako au nduguzo wengine.

Chunguza wazinifu woote duniani, lazima ktk kizazi chake yupo mzinifu mwingine, kama baba ni mzinifu lazima mama au baadhi ya watoto nao watakuwa wazinifu.
 
Kwanza hebu ngoja ni tangulize salamu
Habari zenu wadau, hivi munajua dawa ya moto ni moto? na chuma hakikatwi bali na chuma chenza?
Hebu ngoja niende kwenye maada husika

kuna jamaa anatembea na mdogo wangu wakike wa mwisho na ndo kwnza yupo 4m4 na yey ana mke na watoto wawili na mkewe hajui kuhusu hili swala 2memkanya sana mdogo wangu nae ndo haskii la muazini wala muweka maji mskitini, shuleni anafeli hataki kusoma yani shida
Sasa jamaa amepata kazi ya udereva wa magari makubwa amesafiri inapata wiki sasa, kijana wenu kama kwaida yangu na mawazo ya kulipa kisasi nimefanya mandinga mpaka nimepata no. ya mkewe nimetupa mawe yeye kamwaga nyuki(yani kanikubalia) na "waswahili wanasema ukimla kuku wa mwenzio miguu itakurudia" leo nina appointment ya usiku na mkewe, halafu kuna mdogo wake kike amekuja kutoka mkoa kuwatembelea nae nataka kumuonesha mji kidogo, Sio kama napenda kufanya hiv ila hakuna anaependa kuona kwake kunaharibika, Au munanishauri nini wadau kabla hakuja haribika.. agghhrr!! yani dah!

When you take the decision to ride on the way of revenge always dig two graves!!!
 
PLEASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!! This got nothin to do with God! Aint nothin neither devine nor Godly about this shit! So dont you dare bring God to hell unnecessarily!!!!!!!

Dont you think its a bit selfish to call higher powers to handle your dirty laundry, or do your dirty works which you couldnt handle your self!!!!!!!!!??????????

BOY dont let them twist you! This shit is about YOUR SISTERS HONOR AND YOU LIVING UP THAT "BROTHER" TITLE AND HONOR!!!!!!

Hahaha duh! hapa disco kaingia mmasai...inaweza ikawa ni sahihi Ukisemacho for the sake of revenge ila hawa madereva siwaamini...asije kuungua mwanajamvi mwenzetu!!!! HALAFU WEWE LARA HUTOKUWEPO PALE JAMAA ATAKAPOLOOSE WEIGHT...
 
Kwanza hebu ngoja ni tangulize salamu
Habari zenu wadau, hivi munajua dawa ya moto ni moto? na chuma hakikatwi bali na chuma chenza?
Hebu ngoja niende kwenye maada husika

kuna jamaa anatembea na mdogo wangu wakike wa mwisho na ndo kwnza yupo 4m4 na yey ana mke na watoto wawili na mkewe hajui kuhusu hili swala 2memkanya sana mdogo wangu nae ndo haskii la muazini wala muweka maji mskitini, shuleni anafeli hataki kusoma yani shida
Sasa jamaa amepata kazi ya udereva wa magari makubwa amesafiri inapata wiki sasa, kijana wenu kama kwaida yangu na mawazo ya kulipa kisasi nimefanya mandinga mpaka nimepata no. ya mkewe nimetupa mawe yeye kamwaga nyuki(yani kanikubalia) na "waswahili wanasema ukimla kuku wa mwenzio miguu itakurudia" leo nina appointment ya usiku na mkewe, halafu kuna mdogo wake kike amekuja kutoka mkoa kuwatembelea nae nataka kumuonesha mji kidogo, Sio kama napenda kufanya hiv ila hakuna anaependa kuona kwake kunaharibika, Au munanishauri nini wadau kabla hakuja haribika.. agghhrr!! yani dah!

Usifanye maamuzi ukiwa na hasira tuliza akili alafu fikiria tena ndo ufanye uamuzi thabiti. cha muhimu washirikishe wazazi wenu au walio wakubwa wenu wamuite huyo njemba na mke wake akiwepo na akanywe vilivyo.

Kwa mdogo wako kwanza jenga nae urafiki alafu anza ongea nae taratibu kuhusu mambo unayoona hayamfai mpe nafasi yakueleza mawazo na hisia zake na msahihishe kirafiki na kiupendo, cha muhimu unatakiwa ujue kuwa hata kama ataanza badilika ataanza taratibu sababu zaidi ikiwa kama kashafanya ngono na huyo jamaa hivyo usimwalakishe ila jaribu kumwonesha upendo, usikivu na zaidi pale ambapo itaonekana familia, marafiki au ndugu kumtenga. mpe mifano ya watu kama wapo ambao waliteleza kidogo wakajirudi na kufanikiwa kimasomo na kimaisha ili kumjengea moyo zaidi wa kubadilika na daima usichoke kumtia moyo hata kama utakuwa pekee yako hapo mnapoishi na mazingira yenu.

Kwa wana JF kweli hii ni changamoto katika jamii yetu hatuna budi kuikemea kwa pamoja na kivitendo zaidi; namaanisha wale wote tulio onesha hasira zetu dhidi ya huyu jamaa tuzioneshe katika jamii yetu ili tuwe mfano wa kuigwa na wengine kwa ajili ya taifa letu la kesho.
 
Wewe Mjamaa Kinachokuuma ni Kipi hasa? 1) dadako kufeli shuleni 2) Kutafunwa 3) kutafunwa na deleva wa Loli 4) kutafunwa na Mume wa Mtu 5) kutafunwa na Mtu aliemzidi Umri 6) kujua kuwa anatafunwa!
 
Mfanye mke WA jamaa ajue uhusiano WA 'shem' Wako na dadako, kaa pembeni uone kitakachotokea
 
Usifanye maamuzi ukiwa na hasira tuliza akili alafu fikiria tena ndo ufanye uamuzi thabiti. cha muhimu washirikishe wazazi wenu au walio wakubwa wenu wamuite huyo njemba na mke wake akiwepo na akanywe vilivyo.

Kwa mdogo wako kwanza jenga nae urafiki alafu anza ongea nae taratibu kuhusu mambo unayoona hayamfai mpe nafasi yakueleza mawazo na hisia zake na msahihishe kirafiki na kiupendo, cha muhimu unatakiwa ujue kuwa hata kama ataanza badilika ataanza taratibu sababu zaidi ikiwa kama kashafanya ngono na huyo jamaa hivyo usimwalakishe ila jaribu kumwonesha upendo, usikivu na zaidi pale ambapo itaonekana familia, marafiki au ndugu kumtenga. mpe mifano ya watu kama wapo ambao waliteleza kidogo wakajirudi na kufanikiwa kimasomo na kimaisha ili kumjengea moyo zaidi wa kubadilika na daima usichoke kumtia moyo hata kama utakuwa pekee yako hapo mnapoishi na mazingira yenu.

Yani nyie ndio watu jamii inawahitaji, umeongea vizuri kaka, ahsante sana
 
Wewe Mjamaa Kinachokuuma ni Kipi hasa? 1) dadako kufeli shuleni 2) Kutafunwa 3) kutafunwa na deleva wa Loli 4) kutafunwa na Mume wa Mtu 5) kutafunwa na Mtu aliemzidi Umri 6) kujua kuwa anatafunwa!

We jamaa mim na wew tuaumizana vichwa 2, vp una mdogo wa kike kwnza?
 
...usijishembendue hapa...wewe mwenyewe unaonekana una nyege mshindo ndio maana unataka kuparamia huyo mke wa jamaa...jipange kwanza haya mambo si ya kukurupuka maana hapa utakuwa unamfunza mdogo wako, unamkomesha jamaa, au unajivunjia na heshima yako na kujitakia laana??????????AAAAGGGGGHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!
 
ukila mkewe c adhabu kwa huyo dereva hayo ni mapenzi tu ya wapenzi wapya wewe na huyo mkewe.fanya hivi ;mbembeleze mkewe akupe tigo chubua kwelikweli chukua dogo lake kula mbele ki uhakika wote kutwa mara tatu halafu wagombaishe mkewe na mdogo wake yaani fanya mdogo wake AKUFUMANIE KWA MKEWE.kwishney.
 
when you wrestle a pig, he has fun while you end up getting dirty
 
yani jamaa ana mke na watoto wawili afu atafune mdogo wako ambaye pia ni wangu manake form four ni kabinti kadogo tu, na mwezi wa mtihani huo umekaribia..ngoja kwanza ntaku-PM huyo jamaa hatakuja kukusahau nakwambia manake nikiweka wazi hapa kuna wadau wanajifanya wana huruma eti, akati maisha ya mdogo wetu yamekwisha kuharibiwa...aaagri yani ningekuwa mie......................................................................................
 
wewe nae huna akili kama mdogo wako tu
toka lini ukasolve tatizo kwa kuongeza matatizo????

PLEASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!! This got nothin to do with God! Aint nothin neither devine nor Godly about this shit! So dont you dare bring God to hell unnecessarily!!!!!!!

Dont you think its a bit selfish to call higher powers to handle your dirty laundry, or do your dirty works which you couldnt handle your self!!!!!!!!!??????????

BOY dont let them twist you! This shit is about YOUR SISTERS HONOR AND YOU LIVING UP THAT "BROTHER" TITLE AND HONOR!!!!!!

Lara nashauri huyo mke asimguse!! Hebu waza kama jamaa dereva anamagonjwa yake ya zinaa, hapo si itakuwa mdogo wake mtoa mada kapata na mke wa jamaa dereva naye!!! Isitoshe huyo mdogo wa jamaa dereva hana kosa lolote!! Kumbuka maumivu atakayo mpa na siajabu hata isimuume mbaya wake (dereva). Atafute soln nyingine, labda avaliwe apewe kichapo cha kumshikisha adabu na mke wa dereva naye apewe taarifa.
 
mfano na yeye akilipiza kwa girl wako au mama yako utafanyaje sasa??
 
Halafu ukishamgegeda mke wake ndio utakuwa umemkomoa? Je, hiki kitendo kitasitisha mdogo wako kugegedwa na huyo jamaa? Watu tumeumbwa tofauti sana. Huo muda wa kufuatilia mdogo wako anagegedwa na nani unatoa wapi? Visasi havisaidii ndugu yangu. Cha kufanya ni kumpa darasa mdogo wako ajue madhara ya ngono zembe. Akiamua kusikia vema, asiposikia basi acha lakini utakuwa umetimiza wajibu wako kama kaka. Ujue watoto wa kike wakishaamua mambo yao katika mapenzi huwa wanakuwa kama vichaa hivi, hawasikii la mtu. Mwache, dunia itamfunza na atakumbuka maneno yako. Kumpiga biti na visasi kwa huyo jamaa ndio unazidi kumjengea jina kwa dada yako. Acha.
 
ukila mkewe c adhabu kwa huyo dereva hayo ni mapenzi tu ya wapenzi wapya wewe na huyo mkewe.fanya hivi ;mbembeleze mkewe akupe tigo chubua kwelikweli chukua dogo lake kula mbele ki uhakika wote kutwa mara tatu halafu wagombaishe mkewe na mdogo wake yaani fanya mdogo wake AKUFUMANIE KWA MKEWE.kwishney

NOUMAH! KWELI!
 
Back
Top Bottom