eti huyu ni nani?


huyu mrembo kama sijakosea ni Linah Ndalandefu Chupikiraka.
 
Huyu si haka kabinti kanajiita Lina "malkia wa bongo flavor"...sijui kamempata predeshee gani anayekapa trip za kwenda mbele kila uchao

tigo inalipa mkuu...huna habari???
 
tuwekee picha za vibaka wa mfukoni hapa ,huyu anakosa gani kwenye jamii .
 
habari hiyo sinayo kwa kweli

shauri yako...watakucheka watu...

....siku watu wanaendesha RAV 4, Nissan Xtrail, Prado TX etc kwa sababu ya kutumia mtandao wa tigo.
 
Getrude Lwakatare kabla hajaingia u-free mason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…