Eti huyu anasema Mungu ni mchawi mmmmmmh

Eti huyu anasema Mungu ni mchawi mmmmmmh

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
c45e4fd4a56b6c5be8aca1f57fca55d7.jpg
 
"behind the successful man there is a woman because women never run behind unsuccessful man" sasa leo tunachezesha kidogo wahusika wakuu wa hiyo nukuu MAN na WOMAN. najaribu kuwaza robert kachangia dvd, sendabishaka kanunua sofa na baba nanii kaleta kapeti maisha yanaendelea (just my view in order not to leave any stone unturned!!!)
 
Picha haijanibariki.... umekata kitu muhimu
Mimi nikaona nisiombe ngoja nikaitafute hiyo picha, nikaikosa, nikamsearch yule aliyemtag...... Mama mama mama ni shida...
FB_IMG_1485813184749.jpg

Nilikuja kukupa taarifa. Mimi narudi kule kule.
 
Umemkoti vibaya yeye kasema mungu ni mchawi na sio Mungu.
Asante mkuu kwa ufafanuzi. Ukweli tumekuwa tunageneralize hili suala huku kuna ukweli mbadala wa wale wanaoiamini 'miungu' yao na hatuwapi nafasi katika mustakabali mzima wa uhuru wa kuabudu!
 
Back
Top Bottom