Eti hii Huduma ipo mkoani kwako...?

kuna mtu alianzisha uzi hapa na kuweka vielelezo vya wanaume wa Dar mimi nikapinga vyote,nilikuwa naona kuna kitu kimekosewa,hatimaye leo yametimia mwanaume wa Dar mfano wao ndio kawa huyu/hawa!
 
kuna mtu alianzisha uzi hapa na kuweka vielelezo vya wanaume wa Dar mimi nikapinga vyote,nilikuwa naona kuna kitu kimekosewa,hatimaye leo yametimia mwanaume wa Dar mfano wao ndio kawa huyu/hawa!
Haaahhaaaaaa!!!!!!
 
Itanishangaza zaidi kama itakuwa hiyo picha ni ya mwanaume wa Daslam sababu wanaume wa huko huwa wako mstari wa mbele kuwaponda wanawake wanaosafisha kucha na kusema hilo jambo haifai.

Kulikoni leo hii na wao wanaanza kufuata mkumbo.
 
Hayo mambo niliyaona "DAA". Nilikuwa napenda sana kupata huduma hiyo kwenye saluni ambayo ilikuwa jengo la NSSF makutano ya Bibi Titi na Morogoro kuna baba alikuwa anakuja na yeye kusuguliwa na kuoshwa kucha (tena ni mzaliwa wa Mkoa wa Mara kabila lake ni Mjita). Huwezi kuamini yule kaka na yeye anapakatwa mguu na Moses (muosha kucha).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom