Eti hawa ndio green guard?

Mizengo PIGA alishatoa amri....!!
 
Magaidi wa chama cha magamba!!! Humuoni huyo Ramadhani Ighondu anamg'oa mtu meno!!!
 
Naona na MPIGA VIDEO yupo wala hatetereki kurekodi tukio...wapi Mwigulu Baja?

 
Nadhani ni Rehearsal ya namna ya kumtoa mtu meno bila ganzi au kutengua shingo bila huruma.
 
Reactions: awp
Wameshadhulumiana rushwa waliyopewa na mgombea. Mmoja wao atakapokereka zaidi hatakuja na ngumi bali atakuja na tindikali na kumwagia aliyewadhulumu. Then msala wanaangushiwa vijana wa M4C. Masaburi kabisa!
 
aiseeee babayangu kama sijakosea hapo ni lumumba baada ya kupewa buku 2 na nepi niue
 
hao ni graduates wa kile chuo cha mwigulu kule mbeya hapo wako field
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…