Kosa ulilofanya ni kutomnyang'anya mtaji wako, ungechukua hadi mtaji pmj na pesa ya usumbufu.Nilikuwa kwenye mahusiano na mdada hivi mtu mzima, kwa miaka kama mitatu. Alikuwa anafanya biashara ya kuuza vilevi. Hiyo biashara ni ya kwake binafsi. Sasa katika mahusiano yetu japo kuna wakati alini cheat nikamgundua, lakini aliniomba msamaha sana yakaisha. Akawa kama amejirudi flani hivi hadi nikaanza kushawishika kama vile kutaka kumpa sapoti kwenye wa biashara yake.
Nikaanza kumuongezea mtaji kidogo kidogo kisha nikaanza kumnunulia vitu vya kuboresha ile sehemu ya biashara yake ili papendeze zaidi (decorations). Palivyoanza kuvutia, wateja wakaanza kujaa kumbe miongongoni mwao mmoja akamshawishi, wakaingia kwenye mahusiano kimya kimya bila mimi kujua kwa kuwa mara nyingi nilikuwa bize sana. Siku nilipokuja kugundua akaingiwa na hofu sana, akadhani nitakuja kumdhuru hivyo akaomba ili awe salama, uhusiano wetu uishie hapo.
Sikuwa na kinyongo, nilimkubalia ila tu nikampa sharti moja tu kwamba anipe vitu vyangu vyote (decorations na viti na meza mpya nilizokuwa nimemnunulia pale kwenye biashara) vilivyokuwa vimechangia kupaboresha pale sehemu ili akibaki, abaki kama nilivyokuwa nimemkuta. Na huyo mtu wake mpya aliyekuwa amempata aweze kumboreshea kama anampenda. Kwa kweli nilivichukua, kasoro pesa ya mtaji niliyokuwa nimemuongezea ndio sikuidai tu, ila cha ajabu huyo mdada akawaka sana, akamsimulia kila mtu kwamba mimi ni mshamba, iweje nimfanyie kitu halafu nimnyang'anye? Binafsi ningeweza kumuachia, isipokuwa roho ikaniuma sana na kunifanya nijiulize kwamba uboreshaji wangu wa pale sehemu kwa pesa zangu mwenyewe ndio umesababisha hayo yote kwa hiyo niondoke tu hivi hivi na kumuachia aendelee kutanua huku mimi nikikung'uta makalio na yeye akiendelea kupigwa 'pipe' na mtu mwingine? Kosa langu hapo ni nini? Kuchukua mali zangu?
KOSA LILIANZIA HAPANilikuwa kwenye mahusiano na mdada hivi mtu mzima, anafanya biashara ya kuuza vilevi.
NakaziaNa alishajua wewe ni dhaifu kwake kitendo Cha kurudi wakati alikusaliti,,kiufupi ulikua unadate na Malaya tu anayejiuza ila wewe ulikua Bado kusanuka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa katika mahusiano yetu japo kuna wakati alini cheat nikamgundua, lakini aliniomba msamaha sana yakaisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kosa kubwa ulilolifanya ni kuratarajia chumvi itabadilika na kuwa sukari.
Mwenye asili yake haachi. Mtu akicheat hata akae miaka mingapi akiwa muaminifu ni swala la wakati tu na kutokea kwa mtu sahihi atacheat tena.
Ulipomgundua mara ya kwanza ilitosha kuachana nae kabisa.
Halafu huyo demu hakuwa akikupenda, alikuwa anapenda huduma zako kwake. Mwanamke anaekupenda hasa na akakukosea hata ukimuwekea bunduki ya kichwa bado ataendelea kukuomba msamaha. Sasa huyo kiwepesi tu anakwambia muachane maana anahofia maisha yake.
Kwa kawaida mwanamke hapokonywi zawadi baada ya mahusiano kuisha ila kwa huyo umefanya sahihi kabisa. Muache aongee tu pumbavu zake.
Kama vipi nitumie picha hivyo vitu nimnunulie mchepuko wangu aweke kwenye ofisi yake ya mama ntilie ila nae akizingua nitampokonya tu kama wewe ulivyofanya.
jambo jema sanaa jombaaTulikuwa na plani ya kujiendeleza pamoja ili tuwe vizuri, sasa mwenzangu kumbe alikuwa na yake. Kama ni hongo ya kawaida nishampa sana. Hapa nazungumzia vitu vilivyokuja kumpa kiburi.
NAMI NAKAZIANakazia
Mnajielewa,au mnjigeuza shamba la bibi?Wanaume tunaojielewa huwa tunawaacha wanawake pamoja na vitu tulivyowapatia.
Wewe ulikosea Sana mkuu kumnyang'anya vitu ulivyokuwa umempa.You need to man up and be a gentleman bro.