Eti hapa nilikosea nini?

Unapivunja mkatataba lazima ulipe, tena ungedai na mtaji wako kabisa. Si unaona Tanzania tunavyolipa mihela kwa kuvunja mikataba hovyo.
 
Kuna kipimo unatakiwa ufanyiwe.....ili tuweze kukushauri vyema.
 
Wanawake ni wabinafsi sana. Yaani they just wana take and take but not give.
 
Tatizo huudhurii vikao, Ona sasa unaenda kinyume na makubaliano tuliyokubaliana na yaliyowekwa kwenye muhtasari. Wanawake wote wanamiliki liquor stores iwe pub, grocery n.k ni wauzaji kwa namna moja au nyingine Wewe kula beer Piga toa ela pita hivi! Wewe unaanza kuongeza mtaji Mara ununue viti dah unatuhaibisha wenzako!
 
Bro tafuta mke.oa mfanyie ulichomfanyia huyo barmedi (ila siyo biashara ya ulevi).Utafika mbali sana.

Muuza ulevi yoyote akili huwa si ukamilifu.
 
wewe ni mshamba...na maeneo hayo huwezi tena kupata demu labda ukanunue malaya
Mimi nasema hivi,huyu jamaa sio mshamba Wala nini bali anajitambua na alikataa kutapeliwa.Mimi ningemhesabu kama mshamba kama angekubali kuendelea kugeuzwa shamba la bibi na mwanamke ambaye hana mpango wa kutulia.Mwanaume yeyote,usikubali kutapeliwa na hawa wanawake eti kisa tu ukichukua vyako utaonekana mshamba.Mwanaume kamili ni yule anayeweza kusimamia haki zake zisiporwe na wajasiliamwili.
 
Muwe mnauhudhuria vikao sio kuja kujiliza tu huku , wakati vikao vyote vilitoa mwanga wa nini kifanyike

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…