Halafu kulia hapo naliona paa la mahakama ya kisutu
jamenii Dar, imebadilika ivo !!
in-ShaAllah... nipo njiani acha nimalize majukumuu. azma ipo!!Mkuu njoo dar utembee kidogo
in-ShaAllah... nipo njiani acha nimalize majukumuu. azma ipo!!
AMIN.Allah akufanyie wepesi
AMIN.
Mashkurr Utafiti... Sijui nitapata nafsi ya uwenyeji wako?
safi sana mpiga picha hii sijui ni aina gani ya picha na alikuwa wapi wale wa Geograph nisaidieni
Life historical trip!!Nitashkuru sana mkuu kama utakua mgeni wangu...karibu sana kaka niambie tu lini nikufate airport?
msaada eti hapa ni wapi?
![]()