Ni watu wachache sana duniani ndio huelewa dunia inavyokwenda the rest huwa hawajui kinachoendelea huhitaji kuongozwa kama kipofu.Hiyo hali mbaya i-wapi?
Mfano,nipo hapa mahali fulani watu wanaendelea na agenda zao na mambo yao kama kawaida.Hawana habari za eti nchi ama umoja fulani umetoa tamko lolote!
Tusijidanganye humu Jf Watanzania wengi hawana habari kabisa na UPUUZI wowote unaopandikizwa na MAJUHA FULANI!
Na kwa yeyote anayejipatia matumaini eti ya wapi yatatukokea Watanzania,ANAJIDANGANYA!
Watz wa kweli anaendelea na majukumu yao ya kawaida na ya kila siku kwao. Uzushi na mabaya wamewaachia wataka madaraka kwa nguvu wahangaike nayo.
#Tz ni nchi huru.
Pale mtoto wa mama/shemeji unapongojea kwa hamu zali la mentali huku ukijifariji na wimbo wa zali la mentali wa Profesa J'!Huku ndio kunena kwa lugha nilikokuwa nakuzungumzia!
Kuelekea kufunga mwaka,naona vijana wa Lumumba wananena kwa lugha! - JamiiForums
Unaendelea kunena kwa lugha!!!!!Pale mtoto wa mama/shemeji unapongojea kwa hamu zali la mentali huku ukijifariji na wimbo wa zali la mentali wa Profesa J'!
Asilimia kubwa ya Watz hawako kama vile tunavyojidanganya humu jf na jaribu kutafiti tu hata unapopita mtaani wala hawana habari na upuuzi wa WAPUUZI!Ni watu wachache sana duniani ndio huelewa dunia inavyokwenda the rest hawajui huhitaji kuongozwa.
Mkuu ukishindaa humu jf unaweza fikiri nchi imekwamia kabisa buguruni na aiendi na vyakula hakuna na vilivyopo havinunuliki na magari hayaendeshwiHiyo hali mbaya i-wapi?
Mfano,nipo hapa mahali fulani watu wanaendelea na agenda zao na mambo yao kama kawaida.Hawana habari za eti nchi ama umoja fulani umetoa tamko lolote!
Tusijidanganye humu Jf Watanzania wengi hawana habari kabisa na UPUUZI wowote unaopandikizwa na MAJUHA FULANI!
Na kwa yeyote anayejipatia matumaini eti ya wapi yatatukokea Watanzania,ANAJIDANGANYA!
Watz wa kweli anaendelea na majukumu yao ya kawaida na ya kila siku kwao. Uzushi na mabaya wamewaachia wataka madaraka kwa nguvu wahangaike nayo.
#Tz ni nchi huru.
Tutabanana hapahapa,haondoki mtu!Ewe mkosaji endelea na yako na kama hupendi ya Tz ya leo kufa ama hama Nchi!
Kama jiwe ana habari ya resolution ya EU anatosha.Asilimia kubwa ya Watz hawako kama vile tunavyojidanganya humu jf na jaribu kutafiti tu hata unapopita mtaani wala hawana habari na upuuzi wa WAPUUZI!
Siku wakikubali kuinama uni tag.Tz ikiridhia Habari EPA hutaamini namna hao jamaa zako watakavyowageuka wewe na Chadema yako!
[emoji23][emoji23][emoji23] taarabu zao zishaanza mkuuTutabanana hapahapa,haondoki mtu!
Mimi nafurahi tu mnavyonena kwa lugha
SureNi watu wachache sana duniani ndio huelewa dunia inavyokwenda the rest huwa hawajui kinachoendelea huhitaji kuongozwa kama kipofu.
Hiyo hali mbaya i-wapi?
Mtanzania maskini yupo bize kitaa kutwa nzima kuhakikisha anapata mkate wake wa kila sikuHiyo hali mbaya i-wapi?