Eti duniani viumbe wake hawaonekani binadamu akiwepo

Anunak a tribe belong to mars!, anunak came to the earth and implement human by combining DNA from their body in order to made a super crature today we call it human being.
 
I said it aisee.... let me quote my self

"Binadamu akikosa ushahidi wa kifizikia hua anageuza mawazo yake kuitambulisha fizikia na utambulisho huo hua hadithi[emoji3]..kwa bahati mbaya hua anataka hizo fizikia za hadithi zake zikubalike bila fizikia"

Kibangubangu
Anunak a tribe belong to mars!, anunak came to the earth and implement human by combining DNA from their body in order to made a super crature today we call it human being.
 
Anunak a tribe belong to mars!, anunak came to the earth and implement human by combining DNA from their body in order to made a super crature today we call it human being.
mkuu hizi story mlisimuliwaga na bibi na babu yenu kijijini kwenu huku mmekaa mmezunguka moto usiku kabla ya kwenda kulala?
 
Nani alikudanganya wanasayansi walishawahi kwenda sayari fulani?

Binadamu alishaenda Mwezini tu, sio sehemu nyingine.
 
Hii ilibidi iwe comment ya mwisho kabisa wa uzi sio katikati hivi jamani[emoji3]
 
Unachoshangaa nini leta link yoyote inayoonyesha binadamu wamewahi kwenda sayari nyingine.

Huko kwingine huwa wanapeleka vifaa tu, binadamu kakanyaga mwezini tu.

Ujitahidi kufuatilia kabla hujapost uongo.
 
Back
Top Bottom