Eti duniani viumbe wake hawaonekani binadamu akiwepo

kibangubangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
289
Reaction score
411
Binadamu bwana kwasababu yeye kaumbwa kwa material yanayo onekana kwa macho ya nyama anadhani kila kiumbe kinatakiwa kionekane au kishikike kinywe maji,kile ugali n.k

Sasa mtu anaenda katika sayari nyingine anasema hakuna viumbe kwasababu eti hajaviona na hakuna maji.Wewe aliyekwambia maji ni uhai ni nani?

Akili ya binadamu ni kiasi kidogo mno dhidi ya akili ya uumbaji wa ulimwengu huu,yani yeye anareflect maisha yake ya ki-fizikia na kutoa conclusion kifizikia.

Yaani anatamani kila kitu akione au akiguse.Dunia imewekwa maji,gravitational,oxygen n.k kwasababu kilicho ndani ya sayari hii ni kiumbe chenye material ambayo yanahitaji vitu hivyo.

Ndo maana ili uitawale dunia unahitaji uwezo wa kifizikia,kuinua kitu,kusogeza kitu n.k

Sasa wewe unaenda kwenye sayari nyingine unatoa mimacho yako ya nyama eti unatafuta viumbe usipo viona unasema hakuna.

Kama hamjui na wao hao wa sayari nyingine hua wanakuja huku na wakifika huku hua wanasema hakuna viumbe kwasababu hawaoni kiumbe kwa macho ya mifumo yao na pia hawaoni zile hali za kwenye sayari yao yaani wakiona mfano maji wanasema huku hakuna viumbe kwasababu inawezekana kwao maji hayatumiki kwa maisha yao kuishi!

Kuna moja ya sayari wanasayansi hua wanaenda wanazungukaaa weee wanasema hakuna viumbe kumbe hiyo sayari ndiyo mbinguni Viumbe wa kule hua wanaangalia tu wanacheeeeka!

"Kibangubangu"
 
Aisee,
Binafsi sina Cha kuchangia, kwa kuwa nilijitahidi kujifunza kibangubangu (kireno) sikuambulia kitu.
Hata hapa sijaambulia kitu zaidi ya kuwahi siti kwa maana ndio nonayoiona.
 
Tobaaa mwaga Elimu Mkuu,naona wewe pia si wa sayari hii ni waukooooo ndio Maana ukalijua hilo
 
Kibangubangu ni kigumu ila kuwahi siti pia ni ishara ya ushujaa na nia thabiti ya kujua...subira yavuta heri utajua tu[emoji3]
Aisee,
Binafsi sina Cha kuchangia, kwa kuwa nilijitahidi kujifunza kibangubangu (kireno) sikuambulia kitu.
Hata hapa sijaambulia kitu zaidi ya kuwahi siti kwa maana ndio nonayoiona.
 
Binadamu bwana kwasababu yeye kaumbwa kwa material yanayo onekana kwa macho ya nyama anadhani kila kiumbe kinatakiwa kionekane au kishikike kinywe maji,kile ugali n.k

Sasa mtu anaenda katika sayari nyingine anasema hakuna viumbe kwasababu eti hajaviona na hakuna maji.Wewe aliyekwambia maji ni uhai ni nani?

Akili ya binadamu ni kiasi kidogo mno dhidi ya akili ya uumbaji wa ulimwengu huu,yani yeye anareflect maisha yake ya ki-fizikia na kutoa conclusion kifizikia.

Yaani anatamani kila kitu akione au akiguse.Dunia imewekwa maji,gravitational,oxygen n.k kwasababu kilicho ndani ya sayari hii ni kiumbe chenye material ambayo yanahitaji vitu hivyo.

Ndo maana ili uitawale dunia unahitaji uwezo wa kifizikia,kuinua kitu,kusogeza kitu n.k

Sasa wewe unaenda kwenye sayari nyingine unatoa mimacho yako ya nyama eti unatafuta viumbe usipo viona unasema hakuna.

Kama hamjui na wao hao wa sayari nyingine hua wanakuja huku na wakifika huku hua wanasema hakuna viumbe kwasababu hawaoni kiumbe kwa macho ya mifumo yao na pia hawaoni zile hali za kwenye sayari yao yaani wakiona mfano maji wanasema huku hakuna viumbe kwasababu inawezekana kwao maji hayatumiki kwa maisha yao kuishi!

Kuna moja ya sayari wanasayansi hua wanaenda wanazungukaaa weee wanasema hakuna viumbe kumbe hiyo sayari ndiyo mbinguni Viumbe wa kule hua wanaangalia tu wanacheeeeka!

"Kibangubangu"
Bangi mbaya sana hapo imekufanya ujione noma kumbe ni upupu kabisa kichwani.
 
Kibangubangu kibaya sana kaka vumilia utachanganyikiwa!Kuna vilevi vingine vipo katika mfumo wa maandishi.....ona sasa umesoma unaanza kutukana hovyo!
Bangi mbaya sana hapo imekufanya ujione noma kumbe ni upupu kabisa kichwani.
 
me nilipoendaga sayari fulan niliwah kumuona kiumbe mmoja anatanua miguu afu kuna tobo katikati.
 
Kibaya zaidi kuna mawatu yanaamini kuna aliens kwenye sayari zingine ambazo hawawajawahi hata kufika zaidi ya kusikia tu lakini yanakataa kuwa Mungu hayupo [emoji23]
Binadamu bwana kwasababu yeye kaumbwa kwa material yanayo onekana kwa macho ya nyama anadhani kila kiumbe kinatakiwa kionekane au kishikike kinywe maji,kile ugali n.k

Sasa mtu anaenda katika sayari nyingine anasema hakuna viumbe kwasababu eti hajaviona na hakuna maji.Wewe aliyekwambia maji ni uhai ni nani?

Akili ya binadamu ni kiasi kidogo mno dhidi ya akili ya uumbaji wa ulimwengu huu,yani yeye anareflect maisha yake ya ki-fizikia na kutoa conclusion kifizikia.

Yaani anatamani kila kitu akione au akiguse.Dunia imewekwa maji,gravitational,oxygen n.k kwasababu kilicho ndani ya sayari hii ni kiumbe chenye material ambayo yanahitaji vitu hivyo.

Ndo maana ili uitawale dunia unahitaji uwezo wa kifizikia,kuinua kitu,kusogeza kitu n.k

Sasa wewe unaenda kwenye sayari nyingine unatoa mimacho yako ya nyama eti unatafuta viumbe usipo viona unasema hakuna.

Kama hamjui na wao hao wa sayari nyingine hua wanakuja huku na wakifika huku hua wanasema hakuna viumbe kwasababu hawaoni kiumbe kwa macho ya mifumo yao na pia hawaoni zile hali za kwenye sayari yao yaani wakiona mfano maji wanasema huku hakuna viumbe kwasababu inawezekana kwao maji hayatumiki kwa maisha yao kuishi!

Kuna moja ya sayari wanasayansi hua wanaenda wanazungukaaa weee wanasema hakuna viumbe kumbe hiyo sayari ndiyo mbinguni Viumbe wa kule hua wanaangalia tu wanacheeeeka!

"Kibangubangu"
 
Binadamu akikosa ushahidi wa kifizikia hua anageuza mawazo yake kuitambulisha fizikia na utambulisho hua hua hadithi[emoji3]..kwa bahati mbaya hua anataka hizo fizikia za hadithi zake zikubalike bila fizikia[emoji3][emoji3][emoji3] "kibangubangu"
Kibaya zaidi kuna mawatu yanaamini kuna aliens kwenye sayari zingine ambazo hawawajawahi hata kufika zaidi ya kusikia tu lakini yanakataa kuwa Mungu hayupo [emoji23]
 
Story za khwa ila there is a logic behind.

Usikute hata majini na mashetani yana sayari yao.
 
Back
Top Bottom