yawezekana kuna ukweli fulani,
kuna jamaa yangu, yupo wizara ya bwana KAWAMBWA, alinidokezea mwanzoni mwa wiki ya jana kuwa mambo hayaendi, hawapati 'per diem' zao, wamekatwa pia masurufu na safari za nje zimefutwa hadi itakapotangazwa. Waliambiwa pia fungu lao ktk hazina litokanalo na 'other charges' lilishafyekwa. Hali mbaya, wamebakia 'kujikunyata' tu.