Eti Dar Kuna baridi!?

Eti Dar Kuna baridi!?

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
248
Reaction score
329
Juzi nilipita Dar kulikuwa na kamvua kwa muda ,nyumba niliofikia wanakaa vijana wa Kiume kama vyumba vitatu wamepangisha nahisi ni wanafunzi wenza na G alienialika nifikie hapo kwake kumpunguza Baridi.

Nilishangaa sana kuona vijana wa Kiume wale Wa dar Wanalalamika barid kiasi cha kuvaa Masweta.

Nikasema hawa wakija home Mbeya na Kule Rungwe tutakuwa tunawakokea moto wanaota tu...

Vijana wa Kiume Kupenda joto.!!!Ndio maana baadhi ya Wanaume wa Dar mnatutukanisha Wanaume Wengine na Chips Mayai zenu.

We Dar kunabaridi gani hapo ata Mvua Inyeshe hadi Mafuriko??

Acheni Kudeke.Mje shamba kula Dona
 
bro. Swala la barid vs joto linategemea sana na maeneo. Unajua m2 akitoka nchi kama russia apo rungwe anatembea kifua waz tu. So ukikaa dsm kw amuda mrefu mwili uka adapt hali ya joto, ikija barid kdogo tu inahis barid kali hata kama ulitoka mbeya/rungwe. Thats normal

Sent using Redmi7
 
Juzi nilipita Dar kulikuwa na kamvua kwa muda ,nyumba niliofikia wanakaa vijana wa Kiume kama vyumba vitatu wamepangisha nahisi ni wanafunzi wenza na G alienialika nifikie hapo kwake kumpunguza Baridi.

Nilishangaa sana kuona vijana wa Kiume wale Wa dar Wanalalamika barid kiasi cha kuvaa Masweta.

Nikasema hawa wakija home Mbeya na Kule Rungwe tutakuwa tunawakokea moto wanaota tu...

Vijana wa Kiume Kupenda joto.!!!Ndio maana baadhi ya Wanaume wa Dar mnatutukanisha Wanaume Wengine na Chips Mayai zenu.

We Dar kunabaridi gani hapo ata Mvua Inyeshe hadi Mafuriko??

Acheni Kudeke.Mje shamba kula Dona
Umeshasema ulikwenda kupunguza baridi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo yenyewe dar kuna joto,ila cha ajabu wakazi wa hapa wanalalamika eti kuna baridi.sa sijui wakienda njombe itakuwaje
 
Juzi nilipita Dar kulikuwa na kamvua kwa muda ,nyumba niliofikia wanakaa vijana wa Kiume kama vyumba vitatu wamepangisha nahisi ni wanafunzi wenza na G alienialika nifikie hapo kwake kumpunguza Baridi.

Nilishangaa sana kuona vijana wa Kiume wale Wa dar Wanalalamika barid kiasi cha kuvaa Masweta.

Nikasema hawa wakija home Mbeya na Kule Rungwe tutakuwa tunawakokea moto wanaota tu...

Vijana wa Kiume Kupenda joto.!!!Ndio maana baadhi ya Wanaume wa Dar mnatutukanisha Wanaume Wengine na Chips Mayai zenu.

We Dar kunabaridi gani hapo ata Mvua Inyeshe hadi Mafuriko??

Acheni Kudeke.Mje shamba kula Dona
Usitujibu hivyo aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom