Wandugu salamu
Nimepewa nyepesi kuwa Dar Express litokalo Ar kwenda Dar limewaka moto na kulazimu watu kuruka kwa kupitia madirishani. Mlioko huko tupeni habari kamili. We hope hakuna madhara makubwa kwa abiria.
Shukrani kwa taarifa mkuu, na pole kwa abiria wote waliopata ajali Mungu awajalie wapone haraka kama majeruhi wapo. Chanzo cha kuwaka kwa basi hilo ni nini?