Eti, CCM wanalalamika Odinga kuibiwa kura.

HONGERA RAIS Uhuru Kenyaetta!
HONGERA IEBC!
Hongereni Wakenya wote!
HONGERA Raila Omolo Odinga!
 
Yan CCM inalalamika upinzani kuibiwa kura kenya?Yan mwizi wa kura za wapinzani afu analalamika kuwa upinzani unaibiwa kura kenya.Haya majizi yamenishinda tabia aseee
mkuu umeuliza source? u r perfect definition ya nyumbu
 
Bonafsi siwezi kufuatikia uchaguzi wa nchi kama kenya !! Hakuna cha kujifunza Ktk nchi ambayo ukabila umetawala ....wao ndio wajifunze kupitia Tz .....Amkeni wa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajifunze nini, kuiba kura? Kupindua matokeo, kufuta uchaguzi, kuzuia mikutano, kufunga wabunge au nini wajifunze?

Sisi tuna vingi vya kujifunza naona hata ukabila tumetoa kwao.
 
Hakuna uchaguzi duniani unaoweza kuwa 100% perfect, lakini kwa kuangalia namna tume yetu iñavyoundwa na namna inavyofanya kazi hadi kutoa matokeo kupitia watumishi wa serikali wanaopewa wawatumie wakati wa uchaguzi na hata mwisho wanapoenda kwa rais kutoa taarifa ya uchaguzi, inadhihirisha ni jinsi gani tume isivyo huru.

Tume yetu inafanya kazi kwa usiri mkubwa, unaweza dhania na yenyewe ni chama kinashiriki kwenye uchaguzi na msiri wake ni chama tawala pekee hali inayofanya matokeo ya chaguzi zote kupondwa na wengi, hata kama yana ka ukweli fulani.
 
Gob bless Kenya
 

Eti mi naona ni pointless!
 
Yan CCM inalalamika upinzani kuibiwa kura kenya?Yan mwizi wa kura za wapinzani afu analalamika kuwa upinzani unaibiwa kura kenya.Haya majizi yamenishinda tabia aseee
Mwizi kazidiwa maarifa na nguvu ya haki!
 

Una kipaji cha kutunga hadithi tengeneza riwaya uuze uongeze kipato kuliko kujitumbukiza kidole halafu unanusa ilhali harufu ya ulipokiingiza unaijua
 
dah wapuuzi wachache wanatufanya tuonekane watz wote hatuna akil
 
Acha unafiki, hakuna mwa CCM aliyelalamika. Mod 4 ondoeni huu uzi, maana hakuna ushahidi wa CCM aidha kupitia katibu mkuu au katibu mwenezi au mwenyekiti wa CCM kutoa tamko la hicho alichokiandika mleta mada.
Tulia unyolewe vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…