Eti, CCM wanalalamika Odinga kuibiwa kura.

...
Sasa CCM mnavyolalamikia matokeo mlitaka rafiki yenu ashinde kwa kura za wizi? TOA USHAHIDI
..
Hongera Uhuru, hongera IEBC na hongera wakenya wote.
Hongera kwa kuwa mmoja wa viongozi wenu alimpigia debe. Mbona mnakuwa hamna msimamo, mnarukia tu mambo! Lini Chama Tawala kikajihusisha na vyama vya upinzani?
 
chadema mmekosa pa kutokea hadi mnataka kutumia uchaguzi wa kenya kujiimarisha kisiasa!
Always Chadema inafuata haki na ukweli popote ulipo uwe Kenya au ulaya.
 
Hongera kwa kuwa mmoja wa viongozi wenu alimpigia debe. Mbona mnakuwa hamna msimamo, mnarukia tu mambo! Lini Chama Tawala kikajihusisha na vyama vya upinzani?
Ndio hata mimi nashangaa CCM kumlilia Odinga kuna nini nyuma ya pazia.
 
Ndio hata mimi nashangaa CCM kumlilia Odinga kuna nini nyuma ya pazia.
Toa ushahidi wa hilo. Tumewazoea wapinzani kwa kudakia mambo, uzushi na umbea. Wamefikia hatua hata aibu hawana kabisa, maana wanakula matapishi yao mchana kweupe, tena hadharani, du!! Hakika upinzani TZ una safari ndefu kuingia Ikulu.
 
Hivi wizi wa loba na wizi wa mfukoni upi unanafuu? ninyi mnaiba mpaka mtu anabaki na maumivu jifunzeni wizi wa upole ili tusibaki na maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa ushahidi wa hilo. Tumewazoea wapinzani kwa kudakia mambo, uzushi na umbea. Wamefikia hatua hata aibu hawana kabisa, maana wanakula matapishi yao mchana kweupe, tena hadharani, du!! Hakika upinzani TZ una safari ndefu kuingia Ikulu.
Mbona nyie hamtoi ushahidi Odinga kaibiwaje kura.
 
Tusubiri 2020 tuwasikie mkitaka kukimbilia the Hague!
mkitenda haki hakuna wa kwenda the Hague .usihindi wenu huwa siyo halali hata tume ni yenu.huwezi kujiuliza tume nzima ni wateule wa mgombea,unategemea nini?tena hata maeneo ambayo wapinzani wanapata wabunge huwa ni kwa bahati tu.tume inaweza kutangaza wameshindwa chini ya ulinzi wa polisi,sijui huwa wanaamua tu ilikuonakane kunademocrasia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No, ni kweli Kenyatta team wameiba kura mkuu.Maswali ya kujiuliza ya msingi ni manne.
1.Kwa nini system haikufanya kazi kwa kufuata maagizo ya Electoral Commission i.e kura kuhesabiwa vituoni ?
2.Kwa nini kwenye Odinga strongholds, vituo vilichelewa kufunguliwa?
3.Kwa Electoral Commission kukiri kwamba system ilikuwa hacked lakini data hazikuwa tampered with,huu si ushahidi tosha kwamba kulikuwa na shida?How are we sure that data was not tampered with,kwa assurance tu ya Electoral Commission? It is a flat no.
4.Kwa nini Chris's Msando aliuwawa?Was it a means of making sure that Uhuru wins?Did he hold the key to Uhuru's defeat?

Jamani tuweke itikadi zetu za kisiasa pembeni,maana naona CCM wako upande wa Odinga na CDM upande wa Uhuru.Ukweli ni kwamba Odinga amenyang'anywa ushindi.Points nilizozitaja hapo juu points towards this fact.
 
Kwa nini Useme CDM utashindwa 2020 kama si hila ?! CCM yenye kujiamini haipaswi kupinga uwepo wa tume huru.

Cairo's
Kwani tume huru ndo imesababisha Chriss Msando auwawe Kenya ili chama tawala kishinde?
 
NASA ndio walilalamika system kuwa tempered wakaomba tume itumie fomu 34A still figure hazikubadilika.
 
NASA ndio walilalamika system kuwa tempered wakaomba tume itumie fomu 34A still figure hazikubadilika.
Matokeo hayakubadilika kwa kuwa Electoral Commission inasema data ziko salama hazikubadilishwa.Tunajuaje ziko salama na hazikuhesabiwa vituoni?Chaguzi zetu za kiafrika hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…