Toka hapa, ni nani huyo hatakuwa mfuasi wako katika hicho chama chako ambacho inaonekana kitakuwa na mitazamo hasi, si bora kukaa CCM tu? kulikuo kukufuata wewe mnafiki mkubwa. Umenikera na kama ungekuwa karibu yangu. Ningekutandika kofi labda hasira ningepunguza hasira kidogo. Shame on you.