CCM mko madarakani sehemu yetu ya ziwa Malawi inanyemelewa ikichukuliwa na nyie muende huko huko. Wana JF mnanikera kweli kwani sioni tukielimishana kama ilivyokuwa mwanzo. Hatuwezi kuleta mabadiliko hapa nchini kwa malumbano kama uzi huu ulivyo..Khaaa!
Mkuu mbona uongo hauruhusiwi na Mola wetu? Au ukishaingia kwenye itikadi unasahau imani na maadili?Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria Mikutano ya Chama inayofanyika usiku.
Tumewajua, watanzania musiwaamini hao ni CCM halisi.
Mkuu unaweza kuyafahamu yote hayo hata kama ulikuwa ndani ya CHADEMANa hii hapa ya tarehe 19th October 2012 10:43
Na hii hapa ya 7th September 2012 18:02
Na hii ya 26th July 2012 13:46
Nimehamia kwa moyo kabla ya kuchana kadi ya CHADEMA.Umehamia lini CUF na wewe ndo umetangaza kuchana kadi ya chadema sasa hivi?
Mkuu mtendee mungu na dini yako haki, maana mola wetu hapendezwi na uwongo siku ya kiama utaulizwa mkuu.
Nimehamia kwa moyo kabla ya kuchana kadi ya CHADEMA.
Kwa hiyo hili la kuwaita CCM B wenzenu uliliona ni la Ukweli?
Hebu funguka mkuu toa na ushahidi hapa.
Imeundwa Kwa Muungano wa Vyama viwili CUF na CCM, hapo hakuna A wa B
CHADEMA si chama cha upinzani ni tawi tu la CCM ambalo liliundwa kwa lengo
la kuidhoofisha CUF.
Masharti ya uanachama yanategemea, kama umetumwa kwa kazi maalum ya kuharibu
akili za watanzania unabaki kuwa mwanachama hai wa CCM.
Mimi sijawahi kuongelea siasa za CUF hata siku moja. wanaoongelea hayo kajibizane nao huko wanakoyasema..Kwa hiyo hili la kuwaita CCM B wenzenu uliliona ni la Ukweli? Hebu funguka mkuu toa na ushahidi hapa.
Lakini nyie si mumeolewa! Nape amesema mtu yeyote anayemiliki kadi ya ccm akihamia chama cha upinzani uanachama wake unakufa.
Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao
wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine
wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa
kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.
Hapo mchezewa mchezo na ccm.Slaa anakazi maalum.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Hili ndio tatizo kubwa la "watumwa wa ccm", wanajiona werevu hata katikan vitu ambavyo ni obvious. Huna unayeweza mshawishi kuwa wewe ni mpenda mageuzi au chadema! Fahamu tu tunajua wewe ni miongoni mwa ambao wako kwenye payrol ya MWENEZI , kwahiyo ni lazima useme chochote ku justify mshiko toka kwa brother N: Cha ajabu mnaridhika na vijisenti as your name, wakati wenzenu wanagawana madaraka kwa majina ya baba zao! Bosi wako anakutambua wewe tu, ukianguka leo na kurudi kwa mola, watoto wako hawatapewa chochote na huyo aliyekutuma. Ni heri leo ulijue hilo na uachane na kukata tawi ambalo umelikalia!Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao
wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine
wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa
kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.
Siku zote unafki na umbea haudumu sasa aibu imewageukia.Shame on you Slaa
Mkuu umesema unaichana kadi yako ya CHADEMA inamaana ulikuwa CCM halafu unaendelea kulipia ada kadi ya CHADEMA au? sijaelewa mkuu.Mabadiliko tunayataka sana lakini si kupitia kwa wanafiki ambao
wako Mahususi kwa kugawana vyeo kifamilia huku upande mwingine
wakiwa ni wanachama HAI wa CCM - Tumechoka na hapo ndipo pa
kuanzia mabadiliko. Mimi leo naichana kadi yangu ya CHADEMA.
Kwa sasa kuna CCM na matawi yake ambayo ni A - CHADEMA
B- TLP C-NCCR - D.......... N.K