NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
- Thread starter
- #41
hapo kwenye red, Nani kakuuliza?
Hata hii ya buku saba ilifanyiwa utafiti wa kutosha, mwanaume mzima huwezi kushinda hapa JF ukitokwa povu kwa kutetea magamba bila ujira!
Na wewe jaribu!
Kama Shemeji hatakufukuza kwake!
Una bahati umenunuliwa simu! Endelea kuponda, wenzako tunatafuta data!