Eti, BAVICHA Mbeya yamvaa Naibu Spika!!

Eti, BAVICHA Mbeya yamvaa Naibu Spika!!

Kama uko njiani unaelekea Mbeya hiyo taarifa yako umeipata wapi! weka source!!! Kiherehere tu....

Mimi ni mtu wa kufanya utafiti hasa wa kisiasa!
Lengo la kwenda Mbeya ni kujua mapokeo ya wapiga kura wa Mbeya juu ya swala la Sugu mbunge wao na tukio lilompata.

Mimi sikai kwenye keyboard au simu na kuponda mada za watu, nafanya utafiti!

Tutoke nje ya Box jamani!
 
nadhani huu ndiyo uzi uliotia aibu zaidi kwa wiki hii !
 
Kwa ratiba tuliyonayo:
1. Tutaanzia Ofisi ya Chadema Mkoa
2. Ofisi ya Chadema Wilaya
3. Wapiga kura wa Mbeya Mjini
4. Maoni/Ushauri wa Chama Tawala.

Karibuni pia vijana wa Bavicha, coz tumeambiwa hamna Ofisi yenu hapo Mbeya!
 
Chadema wote ni vichaa sugu ndio ana nafuu
 
Sijawahi kuona chama cha kihuni kijinga na kipuuzi km chadema
 
ww ndio umetia aibu zaidi jukwaani wiki hii kwa post za kijinga kbs

Hivi wazee wa buku saba, mnapeanaje taarifa kuwa mwenzenu keshaanzisha thread? maana ikianzishwa tu, mnakuja wote fasta!
 
Hivi wazee wa buku saba, mnapeanaje taarifa kuwa mwenzenu keshaanzisha thread? maana ikianzishwa tu, mnakuja wote fasta!

Naomba nikueleze, maeneo yote ninayokwenda kufanya tafiti zangu za kisiasa huwa natumia gharama zangu mwenyewe!

Na sijaanza leo, toka 2008, nilipokuwa Wilayani Njombe!

Wewe kukaa kwa shemeji yako mjini unaona umemaliza!?

Katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita nilikwenda Wilayani Kongwa na kuanzia tarehe 26/08 nilikuwa Zanzibar. Na hatimaye leo niko Mbeya.!!

Sio kila kitu ni cha kuiga, kisa mtu kasema buku saba na wewe una copy dogo!

Narudia tena: Tokeni nje ya Box
 
hapo kwenye red, Nani kakuuliza?
Hata hii ya buku saba ilifanyiwa utafiti wa kutosha, mwanaume mzima huwezi kushinda hapa JF ukitokwa povu kwa kutetea magamba bila ujira!
 
Back
Top Bottom