Eti, BAVICHA Mbeya yamvaa Naibu Spika!!

Eti, BAVICHA Mbeya yamvaa Naibu Spika!!

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
830
Reaction score
91
Wana JF!
Katika hali ya kushangaza vijana wa BAVICHA Mbeya wamelaani kitendo cha Mbunge wao Sugu kweli kweli kutupwa kama Gunia!

Mbona wasimlaumu Mbowe ambae alikuwa chanzo cha tatizo??

Na pia wajiulize mbona sio wabunge wengine wa Chadema ni Sugu aliyetupwa nje ya Bunge!!?? Au kwakuwa yeye ni SUGU!

Utajifunza vipi BILA kuchafuka??
 
Mbona hueleweki? Au pombe za jana bado zinakusumbua? Kajipange upya gamba wee!
 
Kamsaidieni baba wa mwenzenu Kigwangala then urudi!!
 
yan mie nafuraha sana kwa yale ambayo ndugai ameyafanya bungeni kuhusu sugu kwa sababu nacho jua ndo amezidi kuongeza hasira ya ccm kuchukiwa tanzania nzima hasa mbeya na pia na hisi ndugai hata kaa akanyage mbeya mpaka siku anaingia kaburini na hata sehemu zingine ambazo zina upinzani mkali awezi kukanyaga na mie anasema akitokea amekuja tarime nitafunga kinyesi kwenye mfuko alafu nitamsogelea kisha nitamwagia...vyovyote itakavyo kuwa kama ni kufungwa au kuuliwa powa lakini niondoe dukuduku langu moyoni....sikupendi ndugai nimekuchukia kutoka moyoni na ccm yote siwapendi.
 
Kunywa pombe kwa hela yako achana na pombe za kununuliwa wasije wakakuzimisha kisha wakaku-duu.
 
yan mie nafuraha sana kwa yale ambayo ndugai ameyafanya bungeni kuhusu sugu kwa sababu nacho jua ndo amezidi kuongeza hasira ya ccm kuchukiwa tanzania nzima hasa mbeya na pia na hisi ndugai hata kaa akanyage mbeya mpaka siku anaingia kaburini na hata sehemu zingine ambazo zina upinzani mkali awezi kukanyaga na mie anasema akitokea amekuja tarime nitafunga kinyesi kwenye mfuko alafu nitamsogelea kisha nitamwagia...vyovyote itakavyo kuwa kama ni kufungwa au kuuliwa powa lakini niondoe dukuduku langu moyoni....sikupendi ndugai nimekuchukia kutoka moyoni na ccm yote siwapendi.

Kwani wewe ni NANI nchi hii??
Hangaika na matatizo yako dogo.
 
Wana JF!
Katika hali ya kushangaza vijana wa BAVICHA Mbeya wamelaani kitendo cha Mbunge wao Sugu kweli kweli kutupwa kama Gunia!

Mbona wasimlaumu Mbowe ambae alikuwa chanzo cha tatizo??

Na pia wajiulize mbona sio wabunge wengine wa Chadema ni Sugu aliyetupwa nje ya Bunge!!?? Au kwakuwa yeye ni SUGU!

Utajifunza vipi BILA kuchafuka??

Usituletee masabur hapa!
 
jibuni hoja za wapinzani siyo kuwakimbiza,mbona mambo yako wazi,haujui kuwa wazanzibari wamewachoka,walitaka kuchomokea kwa CUF Mkafunga nao ndoa ya mkeka.so badowana kiu ya jibu,jaribuni kusikiliza kesi walo ifungua mahakama yao kuu,mtajipima homa wenyewe.
 
Back
Top Bottom