Eti bado naogopa kupenda tena....!!!

Eti bado naogopa kupenda tena....!!!

Its the heart afraid of breaking that never learns to dance,
Its the dream afraid of waking that never takes the chance,
Its the one who wont be taken who cannot seem to give,
And the soul afraid of dying that never learns to live.

Bette Mildler

I say take the chance live your life cherish the moment no one knows about tomorrow...
 
Ulichokuwa unakiogopa ni kudumbukia kwenye mapenzi tena, sasa umeshadumbukia unaogopa nini tena? jiachie, life is to short make sure u enjoy it.
 
Jishaue apate mwingine.. Utaliaje sasa!

Ufuate moyo wako, kama una mafeelings naye.. Ipe roho yako kitu inapenda bana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahaha,huyu ana zile anataka kubembelezwaaaa ilhali anahitaji kwa sana tu.
 
utabana utaachia tu!wala sina wasi!sitochoka kusema,mapenzi hayasuswi
 
Hii picha tuinayo hapa ni wewe haswaaa?

hekimatele yaani tuko wote, nimejikuta namwaza Chaichungu huku nikimkodolea macho NTIBA.

image.jpg

Last edited by a moderator:
Mie ni mdada wa umri wa miongo 3 hapa duniani! Nina mtoto mmoja na niko single. Nimejikita zaidi katika shughuli za utaftaji wa mapene, na niko vizuri kiuchumi! (lakini siintatein kulea visharobaro) nimekuwa single for around two years...nimewakataa wengi, wenye rangi tafauti...you name it! Nikichelea kuumizwa na kujiona kuwa natumiwa! Mahusiano yangu ya mwisho yamekuwa magumu mabaya siwezi hata eleza, ambapo makovu yake yapo mpaka leo! Nilijaribu kuanzisha uhusiano but it didnt just work out na ndo nikaamua mhh sasa basi!
Sasa mhh kumbe kuna mtu akuwa akinifatilia for almost a year! Halaf ni mtu ambaye ninahisia naye ingawa nlikuwa najitahidi kuzificha wakati ikitokea tupo pamoja! Ilifika wakati naye uzalendo ulimshinda akanipasulia pwaah! Nachelea kusema nampenda sana huyu kaka! Nimemkaribisha moyoni mwangu kaingia -im head over heals in love with this guy! Lakini sijamuonesha, nafwa mwenyewe na mafeelings! Tatizo, naogopa kupenda! Nahisi kama ntakosea kitu nikampoteza tena! Naogopa...hili naogopa...lile! Jamani pamoja na umri wangu naogopa kupenda tena ingawa nataka! Tatizo najijua huwa napenda mno! The guy is simply what i deserve, amepasi vijimtihani nilivomuwekea! Nifanyeje jamani uuwi kupenda kubaya jamani!

wasiwasi wako mama ndio maradhi yako fungua moyo huo, wanaume hawafanan ikila mtu ana yake pekee we jiingize ulingoni halafu usipende hizo negative expectations ni hatari utaishi kinyonge mama jiachie life yanyewe fupi hii
 
:
Usiogope kupenda Mdada jamani.
Please READ My Thread with ATTACHEMENT ,The thread is WHAT IS LOVE:with attachment
 
Its the heart afraid of breaking that never learns to dance,
Its the dream afraid of waking that never takes the chance,
Its the one who wont be taken who cannot seem to give,
And the soul afraid of dying that never learns to live.

Bette Mildler

I say take the chance live your life cherish the moment no one knows about tomorrow...

Thank you mkuu. Just what i wanted to read!!!
Will go for it and let love flow.....!
 
Dada, usiuumize moyo wako. Life is just too short kujiumiza moyo wako kwa kujinyima. Usiudhulumu moyo wangu, cha mhimu ni kumuomba tu Mungu!

na kweli ngoja nianze kumfungia kwa sala na maombi! asante facebook!
 
Last edited by a moderator:
wasiwasi wako mama ndio maradhi yako fungua moyo huo, wanaume hawafanan ikila mtu ana yake pekee we jiingize ulingoni halafu usipende hizo negative expectations ni hatari utaishi kinyonge mama jiachie life yanyewe fupi hii

tatizo nafikiria yale maumivu ya mapenzi mwenzangu..........sitaki kuyaexperience tena!
 
as far as i know mapenzi hayashauriki

ni kweli lakini inategemea ni kipengele kipi @Mdengereko

utabana utaachia tu!wala sina wasi!sitochoka kusema,mapenzi hayasuswi

hahahahhaaa umenichekesha! lakini una kaukweli ati....

CHAI CHUNGU njoo pande hizi,uskie yanayomtatiza mtoto ntiba

akishasikia..............atafanya nini?!?!?! hayamhusu huyu hanifai kwa sasa!!! umesikia Toria

2mia fastjet umkimbilie huyo kjana

:rockon:
 
Last edited by a moderator:
:
Usiogope kupenda Mdada jamani.
Please READ My Thread with ATTACHEMENT ,The thread is WHAT IS LOVE:with attachment
monaco mbona siipati hiyo thread?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom