NTIBA
Member
- Jan 14, 2013
- 79
- 49
- Thread starter
- #41
@hekimatele yaani tuko wote, nimejikuta namwaza Chaichungu huku nikimkodolea macho NTIBA.
View attachment 84755
ahahahahhaaaaaaaaaaaaaaa
@hekimatele yaani tuko wote, nimejikuta namwaza Chaichungu huku nikimkodolea macho NTIBA.
View attachment 84755
Last time I checked the meaning of avatar ni hii hapa ila wewe hujanijibu swali. Wapo wengine wameweka picha zao halisi kwenye hiyo sehemu ya avatar.unaelewa maana ya avatar ndugu yangu hekimatele?!?!?!?
kubembelezwa kuna raha yake my dear!!! lakini katika mazingira yake stahili..................
hapa ni ushauri kuhusu kuondoa hofu ya mapenzi.....hii sijui imekaaje walahi?
Last time I checked the meaning of avatar ni hii hapa ila wewe hujanijibu swali. Wapo wengine wameweka picha zao halisi kwenye hiyo sehemu ya avatar.
avatar [ˈævəˌtɑː]n1. (Non-Christian Religions / Hinduism) Hinduism the manifestation of a deity, notably Vishnu, in human, superhuman, or animal form
2. a visible manifestation or embodiment of an abstract concept; archetype
3. (Electronics & Computer Science / Computer Science) a movable image that represents a person in a virtual reality environment or in cyberspace[from Sanskrit avatāra a going down, from avatarati he descends, from ava down + tarati he passes over]
Mhmm! Mke wa ChaiCHUNGU
Unaweza ukawa unagopa kupenda tena...lakini huyo ndo ushampenda tayari! Unaweza ukawa unaogopa kuumia tena kwa mapendo...lakini unaumia tayari kwa kujifungia jela usile raha na umpendaye tayari! Either way, tayari umo katika vitu ambavyo unaviogopa...kupenda na kuumia!
Na hasikudanganye mtu, hata ukipata malaika...kuna jinsi tu utaumizwa naye. Kuumia kwa mapenzi ni sehemu ya utamu wa mapenzi yenyewe. Kama vile ukiwa na jipu lililoiva lipwitalo...bado utapenda kulitomasa tomasa kwani utahisi kautamu flani hivi kenye uchungu...uchungu mtamu...'bitter sweet'!
ndugu yangu sio kila mwanaume ni wa kukupa maumivu kuna wengine hawana maumivu ya mapenzi ni kufurahia maisha tu hata kama yapo maumivu ni kwa mbaaali. jitupie kwa jamaa halafu duniani wawili wawili lazma uwe na mwenza
Mie ni mdada wa umri wa miongo 3 hapa duniani! Nina mtoto mmoja na niko single. Nimejikita zaidi katika shughuli za utaftaji wa mapene, na niko vizuri kiuchumi! (lakini siintatein kulea visharobaro) nimekuwa single for around two years...nimewakataa wengi, wenye rangi tafauti...you name it! Nikichelea kuumizwa na kujiona kuwa natumiwa! Mahusiano yangu ya mwisho yamekuwa magumu mabaya siwezi hata eleza, ambapo makovu yake yapo mpaka leo! Nilijaribu kuanzisha uhusiano but it didnt just work out na ndo nikaamua mhh sasa basi!
Sasa mhh kumbe kuna mtu akuwa akinifatilia for almost a year! Halaf ni mtu ambaye ninahisia naye ingawa nlikuwa najitahidi kuzificha wakati ikitokea tupo pamoja! Ilifika wakati naye uzalendo ulimshinda akanipasulia pwaah! Nachelea kusema nampenda sana huyu kaka! Nimemkaribisha moyoni mwangu kaingia -im head over heals in love with this guy! Lakini sijamuonesha, nafwa mwenyewe na mafeelings! Tatizo, naogopa kupenda! Nahisi kama ntakosea kitu nikampoteza tena! Naogopa...hili naogopa...lile! Jamani pamoja na umri wangu naogopa kupenda tena ingawa nataka! Tatizo najijua huwa napenda mno! The guy is simply what i deserve, amepasi vijimtihani nilivomuwekea! Nifanyeje jamani uuwi kupenda kubaya jamani!
hapana chezea ujumbe i don wanna miss a thing hu hu huuuuuu! goood song

Kam zis way nkuimbie....
Cause i'd miss u baby
N i dont wanna miss a thing....