NTIBA
Member
- Jan 14, 2013
- 79
- 49
Mie ni mdada wa umri wa miongo 3 hapa duniani! Nina mtoto mmoja na niko single. Nimejikita zaidi katika shughuli za utaftaji wa mapene, na niko vizuri kiuchumi! (lakini siintatein kulea visharobaro) nimekuwa single for around two years...nimewakataa wengi, wenye rangi tafauti...you name it! Nikichelea kuumizwa na kujiona kuwa natumiwa! Mahusiano yangu ya mwisho yamekuwa magumu mabaya siwezi hata eleza, ambapo makovu yake yapo mpaka leo! Nilijaribu kuanzisha uhusiano but it didnt just work out na ndo nikaamua mhh sasa basi!
Sasa mhh kumbe kuna mtu akuwa akinifatilia for almost a year! Halaf ni mtu ambaye ninahisia naye ingawa nlikuwa najitahidi kuzificha wakati ikitokea tupo pamoja! Ilifika wakati naye uzalendo ulimshinda akanipasulia pwaah! Nachelea kusema nampenda sana huyu kaka! Nimemkaribisha moyoni mwangu kaingia -im head over heals in love with this guy! Lakini sijamuonesha, nafwa mwenyewe na mafeelings! Tatizo, naogopa kupenda! Nahisi kama ntakosea kitu nikampoteza tena! Naogopa...hili naogopa...lile! Jamani pamoja na umri wangu naogopa kupenda tena ingawa nataka! Tatizo najijua huwa napenda mno! The guy is simply what i deserve, amepasi vijimtihani nilivomuwekea! Nifanyeje jamani uuwi kupenda kubaya jamani!