Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 15,004 Reaction score 35,491 Sep 22, 2023 #121 Rodwell mTZ said: Kwa hiyo Hilo shamba litakuwa ndiyo mke? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Rodwell mTZ said: Kwa hiyo Hilo shamba litakuwa ndiyo mke? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
kitali JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 6,375 Reaction score 9,698 Sep 22, 2023 #122 Dr wa Kaliua said: Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa. So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi.. Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi! Ntachelewa sana kuoa 😀 Click to expand... Huyu ni Dr kabisaa au ni ile ya Dr Remmy
Dr wa Kaliua said: Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa. So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi.. Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi! Ntachelewa sana kuoa 😀 Click to expand... Huyu ni Dr kabisaa au ni ile ya Dr Remmy
MawardatDellapina JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 30,034 Reaction score 151,444 Sep 23, 2023 #123 So special said: Hivi mwanamke akiolewa bila mahari anapungukiwa nini katika maisha yake ? Click to expand... Mmmh, mahari ni lazima,hakuna ndoa bila mahari, kama hakuna mahari jua hakuna ndoa itafungwa.
So special said: Hivi mwanamke akiolewa bila mahari anapungukiwa nini katika maisha yake ? Click to expand... Mmmh, mahari ni lazima,hakuna ndoa bila mahari, kama hakuna mahari jua hakuna ndoa itafungwa.
David Harvey JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 3,740 Reaction score 9,133 Sep 23, 2023 #124 The Icebreaker said: Kumezuka mtindo hapa JF wa member kujiita kwa tittle ya Dr halafu ukiwachunguza sana wanafanana fanana hata michango yao hapa JF. Click to expand... Dr wa kaliua huyo huoni kuwa ni mganga wa asili huyo?
The Icebreaker said: Kumezuka mtindo hapa JF wa member kujiita kwa tittle ya Dr halafu ukiwachunguza sana wanafanana fanana hata michango yao hapa JF. Click to expand... Dr wa kaliua huyo huoni kuwa ni mganga wa asili huyo?
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,674 Reaction score 14,097 Sep 23, 2023 #125 mawardat said: Mmmh, mahari ni lazima,hakuna ndoa bila mahari, kama hakuna mahari jua hakuna ndoa itafungwa. Click to expand... Umesoma swali na ukaelewa ?
mawardat said: Mmmh, mahari ni lazima,hakuna ndoa bila mahari, kama hakuna mahari jua hakuna ndoa itafungwa. Click to expand... Umesoma swali na ukaelewa ?
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,654 Reaction score 4,345 Jul 13, 2024 #126 Ogopa matapeli
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,276 Reaction score 24,704 Jul 13, 2024 #127 Dr wa Kaliua said: Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa. So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi.. Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi! Ntachelewa sana kuoa 😀 Click to expand... Sasa hiyo si nauli tuuu kuleta ndugu siku mahari....wewe uko serious au unatàka kulelewa ??.....ongsa 5m plus 1mil? Wewe mume kweli ??
Dr wa Kaliua said: Kuna kibidada Leo nimekiacha asubuhi kimeniambia tumekuwa kwenye mahusiano muda sasa. So kinataka nikioe so niende kwao na 1.5m kama mahali bado gharama za harusi.. Nimekiambia kitafute mwanaume wa kuoa kiachana na mimi! Ntachelewa sana kuoa 😀 Click to expand... Sasa hiyo si nauli tuuu kuleta ndugu siku mahari....wewe uko serious au unatàka kulelewa ??.....ongsa 5m plus 1mil? Wewe mume kweli ??