JICHO LA TATU
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 306
- 49
kama wewe ni mama huruma chukua hatua mapema kama unajitambua muoneshe bwana ako nadhani ataona noma na chengine isije ikawa ulimpa kisela halafu kakuganda kama ruba ndio uje umtoe nishai humu jamvini..maana hizo ndio zenu mashostito..
Ningekuwa nimempa basi kusingekuwa na haja ya kuposti na kuomba msaada
Huyo ni tapeli wa kawaida na muogope kama ukoma. Muulize huyo Bwana kwanini anamuotesha yeye peke yake. Isitoshe nani ataamini upuuuzi unaoitwa ndoto kwenye karne hii? Kama kweli anakupenda na kukufaa kwanini asiwe mkweli badala ya visingizio vya kitoto? Kesho atakuoa na akikuchoka anakwambia ima Bwana amemuotesha aoe mke wa pili au akuache kama si kukutoa kafara. Yesu aliwahi kuonya kuhusu kuwaogopa waota ndoto. Maana hawa ni manabii wa uongo ambao kwa sasa wamejaa. Kama anaoteshwa basi mwambie akamuoa Getrude Rwakatare maana hana mume.
Jamani mi mwenzenu kuna kaka mmoja huwa ninamfanyia kazi zake, kwa kifupi ni mteja wa ofisi yetu sana hatimaye ametuzoea wote pale ofisini.
Eti kama mwezi hivi anakuja kwangu nakuniambia anaoteshwa kila siku akilala na Bwana kwamba mimi niwe mke wake
Kiukweli nimejitahidi kumkatalia kwa juhudi zangu zote kwamba haiwezekani inshort sijaridhika naye.
Sasa naona ishakuwa kero kwangu c'z kila akija lazima aongelee hilo suala na anasisitiza ni bora nimkubalie ili aweze kulala na kuishi kwa amani.
Wanajamvi wenzangu nimelileta kwenu naomba mnisaidie nimpe jibu gani ili apate kunielewa.
Tabu ya nini! WE MUOMBE 1M ULIPIE KODI YA NYUMBA!!!! Hatokaa akusogeleee, atakuwa anapita mbali. Ukiendelea kumkataa kistarabu mwenzio anaona UNAZUGA TU ILI USIMKUBALI HARAKA HARAKA!!!! Bugdha hazitoisha, dawa ni hiyo hapo INATIBU AINA ZOTE ZA PENZI LISILOTAKIWA!!!! LOLEST!
Itakuwa vipi kama huyo Jamaa akimkatia hiyo Im?Tabu ya nini! WE MUOMBE 1M ULIPIE KODI YA NYUMBA!!!! Hatokaa akusogeleee, atakuwa anapita mbali. Ukiendelea kumkataa kistarabu mwenzio anaona UNAZUGA TU ILI USIMKUBALI HARAKA HARAKA!!!! Bugdha hazitoisha, dawa ni hiyo hapo INATIBU AINA ZOTE ZA PENZI LISILOTAKIWA!!!! LOLEST!
Tabu ya nini! WE MUOMBE 1M ULIPIE KODI YA NYUMBA!!!! Hatokaa akusogeleee, atakuwa anapita mbali. Ukiendelea kumkataa kistarabu mwenzio anaona UNAZUGA TU ILI USIMKUBALI HARAKA HARAKA!!!! Bugdha hazitoisha, dawa ni hiyo hapo INATIBU AINA ZOTE ZA PENZI LISILOTAKIWA!!!! LOLEST!
Itakuwa vipi kama huyo Jamaa akimkatia hiyo Im?
Jamani mi mwenzenu kuna kaka mmoja huwa ninamfanyia kazi zake, kwa kifupi ni mteja wa ofisi yetu sana hatimaye ametuzoea wote pale ofisini.
Eti kama mwezi hivi anakuja kwangu nakuniambia anaoteshwa kila siku akilala na Bwana kwamba mimi niwe mke wake
Kiukweli nimejitahidi kumkatalia kwa juhudi zangu zote kwamba haiwezekani inshort sijaridhika naye.
Sasa naona ishakuwa kero kwangu c'z kila akija lazima aongelee hilo suala na anasisitiza ni bora nimkubalie ili aweze kulala na kuishi kwa amani.
Wanajamvi wenzangu nimelileta kwenu naomba mnisaidie nimpe jibu gani ili apate kunielewa.
Heshima kwako mdada, hapo sina swaliThubuuutu yake!!! Akimkatia sio ishu ANAAGIZA 2M YA SOFA, IKITOKA INAFATIA 4M YA KIWANJA!!!! LOLEST! There is always more than 1 way to kill a person!!! Hata kumtosa mtu pia! LOL! Watu wengine maneno hawaelewi, hadi PICHA!