sa huyo mchumba ako anachukuliaje hilo swala la wewe kumtaka mwanamke mwingine
Na huyo mchumbako anaumiiiiiia kweli akiambiwa "bwanako simpendi"!!!
Mpotezee, kwani lazima upendwe/uwe rafiki na kila mtu?

Inaelekea jamaa alivyokataliwa alienda kutangaza "NIMESHAMGONGA" dada wa watu ikamfikia habari kwa nini asifure hadi leo BALEHE INASUMBUA KICHIZI nakumbuka mwenzenu.
Wadau wa jamii napenda kwanza niwajulie hali habari zeinu bana...
Kuna mtu ananitesa sana anafanya nisijisikie poa coz...nilipokua mdogo yani ile miaka ya kubarehe kuna msichana hapa mtaani nilitokea kumpenda tena sana cha kwanza shep na umbo na vingine vingi vilinifanya nimpende sana huyu mtu....tabia nilikua naiju kimtindo coz nimekua nae nimesoma nae.....
Ikatokea siku nika mmwaga live kama vipi nataka ni dese nae kama vp....demu hakunijibu zaidi tuligombana sana akipita ananifyonya ananibinulia domo mpaka leo ni zaidi ya miaka kumi sasa bado ni hivyo hivyo kama nimemuudhi jana...hii kitu mimi inaniuma sana coz ni mtu ambae tunatoka mahala pamoja tunajuana kuanzia wazazi na ndugu wote sasa ni nini nimemuudhi huyu....tena anamwambia hata mchumba wangu kua bwana ake simpendi..... Nifanyaje wadau!
Anakutaka huyo na kinamuuma akikuona na mtu mwingine.
atakuwa na mimba isiyojifungulika, ndo tabia zao!!!!!!!!!!Wadau wa jamii napenda kwanza niwajulie hali habari zeinu bana...