The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Ndugu, ukipanda shamba tarajia mavuno, hata kama utapanda wakati wa kiangazi ukungu unatosha kuotesha mbegu kwenye ardhi yenye rutubaNi kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....
Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...
Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...
With Great Thanks
The Magnificient..
Khe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hata JK awe anasafiri namna gani hawezi kwenda mwezini