Eti 2023 tunaendelea Kukufuru au Kushukuru?

Hata wewe na yule jamaa,nitawachanganya iviivi...ukininyima hela ya mboga...naenda kule😉
Jaman nitaanzia wapi kukunyima hela ya mboga kpnz,kwani manundu Mimi siyaogopi?

Haya ebu mlete To yeye akuje isije ikawa tabu hapa na nyuki wengine wakaja hapa!
 
Sawa baba,narudi baadae kidogo...plz nipe muda...kidogo tu
 
Back
Top Bottom