Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,997
- 8,186
Hatimaye leo nimekwotiwa na mama nyuki, haya hujambo mkuu?.Amina
Hatimaye leo nimekwotiwa na mama nyuki, haya hujambo mkuu?.Amina
Hahaha mimi sijataja mtu mkuu najiweka pembeni.Oo kumbe you know that am a Beesmom ? You are welcome Mkuu
😂😂😂hakika ...miguu ikuokoeHahaha mimi sijataja mtu mkuu najiweka pembeni.
Hahaha tuko pamoja sana mama ........😂😂😂hakika ...miguu ikuokoe
Hahahhahahahahah akati wengine wanakufa bado wanapanga, amesahau kua bado ni neema ya kuweza hata kulipa hyo kodiKuna jamaa huku alianzisha mada eti anawashangaa sana watu wanaoishi nyumba za kupanga mpaka leo.
Hiyo post nimeiyona mkuuKuna jamaa huku alianzisha mada eti anawashangaa sana watu wanaoishi nyumba za kupanga mpaka leo.
Kuna vimtu vina kiburi sana kisa hela ya kubadilisha mboga hapo kajenga room mbili tu anatuona sisi wa kupanga eti hatuna akili.Hahahhahahahahah akati wengine wanakufa bado wanapanga, amesahau kua bado ni neema ya kuweza hata kulipa hyo kodi
Kisa kizuri na chenye mazingatio kwa wenye kufikiriHiyo post nimeiyona mkuu
Hayo ndio mambo tunayosema kwakuwa yeye amejaaliwa kupata sehemu ya kujihifadhi badala
ya kumshukuru Allah,basi anawakejeli watu ambao wanapanga hakika huo ni msiba.
Inanikumbusha kisa kimoja kwenye Qur'an tukufu,bwana mmoja amejaliwa bustani nzuri ya mitende na zabibu na watoto wa kutosha,anamwambia mwenzake Mimi nimejaliwa Mali nyingi na watoto kushinda wewe na nadhani bilashaka siku ya kiyama nitapewa kama haya.
Mwenzake akamwambia Lau kwamba wakati unaingia katika bustani yako ungesema Mashallah hivi vyote nimejaaliwa na Allah ingekuwa kheri kama unaona Mimi sina Mali na Nina watoto wachache huenda Mola wako akayabadilisha haya na ukawa mtu mwenye khasara.
Na kweli bhana siku ya pili anaenda shambani anakuta bustani imenyauka kana kwamba imechomwa Moto,hayo ndio mambo ya Allah, yeye ni mbora WA kuadhibu.
Siku ingine jifanye hunifahamu mkuu😠Hahaha mimi sijataja mtu mkuu najiweka pembeni.
Ni haki yao,kupanga tunaumia sana mkuuKuna vimtu vina kiburi sana kisa hela ya kubadilisha mboga hapo kajenga room mbili tu anatuona sisi wa kupanga eti hatuna akili.
Hahaha lakini si yalishaisha mbona hivyo.Siku ingine jifanye hunifahamu mkuu😠
Nimejifunza kitu shukran mkuu.Hiyo post nimeiyona mkuu
Hayo ndio mambo tunayosema kwakuwa yeye amejaaliwa kupata sehemu ya kujihifadhi badala
ya kumshukuru Allah,basi anawakejeli watu ambao wanapanga hakika huo ni msiba.
Inanikumbusha kisa kimoja kwenye Qur'an tukufu,bwana mmoja amejaliwa bustani nzuri ya mitende na zabibu na watoto wa kutosha,anamwambia mwenzake Mimi nimejaliwa Mali nyingi na watoto kushinda wewe na nadhani bilashaka siku ya kiyama nitapewa kama haya.
Mwenzake akamwambia Lau kwamba wakati unaingia katika bustani yako ungesema Mashallah hivi vyote nimejaaliwa na Allah ingekuwa kheri kama unaona Mimi sina Mali na Nina watoto wachache huenda Mola wako akayabadilisha haya na ukawa mtu mwenye khasara.
Na kweli bhana siku ya pili anaenda shambani anakuta bustani imenyauka kana kwamba imechomwa Moto,hayo ndio mambo ya Allah, yeye ni mbora WA kuadhibu.
Sasa tutafanyaje ndo mkono unaishia hapo?.Ni haki yao,kupanga tunaumia sana mkuu
😂😂haya bhanaHahaha lakini si yalishaisha mbona hivyo.
Ishi uwezavyo achana na wapiga domoSasa tutafanyaje ndo mkono unaishia hapo?.
Nakubali nakubali.😂😂haya bhana
Haya ndo maneno sasa, nimeyapokea.Ishi uwezavyo achana na wapiga domo
Hee! Kwahiyo kpnz baada ya kuitwa mama nyuki ndio umeamua kuja kung'ata watu humu!Siku ingine jifanye hunifahamu mkuu😠
Hata wewe na yule jamaa,nitawachanganya iviivi...ukininyima hela ya mboga...naenda kule😉Hee! Kwahiyo kpnz baada ya kuitwa mama nyuki ndio umeamua kuja kung'ata watu humu!