Hehehe!! Subiri uone mijitu mirefu imejaa hapo TRA kwenye taasisi nyeti, ikibonyeza bonyeza na kuongea Kinyarwanda huku mambo yakinyooka. Ndio utajua hamna cha kuchomekea tu, ni issue nzima.
Ha ha ha ha
Mijitu mirefu, haitakuja kutokea wakija wanakuja kama wakenya waliopo. Ama unaona wanakuzibia chansi hao jamaa nini?