Ethiopian Airlines

Ethiopian Airlines

ng'ombo

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
418
Reaction score
619
Ethiopian Airlines imetangaza faida ya $ 44 million kwa nusu ya mwaka.
IMG_20201001_200701.jpeg
IMG_20201001_200647.jpeg
 
Dunia nzima ingeshaa iwapo wangeshindwa kutengeneza faida!... Ikumbukwe kuwa Ethiopian Airlines hawakusitisha huduma zao hata wakati wa janga la UVICO-19... Faida ni kitu kilichotegemewa.
 
Ethiopia airlines na Qatar airways hawakusimama kipindi cha covid hadi bongo walikua wanakuja
 
wale illegal immigrant kule kuna tatizo la ukabila kuna kabila serikali imelisahau kabisa na hawajasoma ndio wanaamua kujikataa kutafuta maisha kwingine kingine ni ukame vita

How do ethiopian airline support that
 
Dunia nzima ingeshaa iwapo wangeshindwa kutengeneza faida!... Ikumbukwe kuwa Ethiopian Airlines hawakusitisha huduma zao hata wakati wa janga la UVICO-19... Faida ni kitu kilichotegemewa.
Ilikuwaje sisi tukasimamisha huduma wakati hatukufanya lockdown? Halafu kwanini Rwanda Air na Ethiopian Airways ndio wanabeba minofu ya samaki na maua kutoka Mwanza na Arusha wakati madege yetu yamepaki?
 
yule waziri mkuu wao anajitaidi kuwaunganisha ila anapigwa vita sana walisubutu hadi kutaka kumuua

Anyway, nimekuuliza hayo yote just kutoa ushauri kwamba viongozi wetu wanatakiwa sana kuwekeza katika watu and not material things
 
Ilikuwaje sisi tukasimamisha huduma wakati hatukufanya lockdown? Halafu kwanini Rwanda Air na Ethiopian Airways ndio wanabeba minofu ya samaki na maua kutoka Mwanza na Arusha wakati madege yetu yamepaki?
Mimi siyo msemeji wa ATCL, naamini kama wanapita humu watakupa ufafanuzi utakaokuridhisha. COVID 19 imetokea wakati ambapo ATCL ilikuwa imeanza kufungua baadhi ya route zake za zamani na nyingine mpya za mashariki ya mbali. Baada ya COVID 19, nchi nyingi zilifunga anga zake na baadaye sisi pia kufunga anga yetu.

Kwa nini Rwandair ilikubaliwa mwanzoni kubeba minofu yetu na baadaye Ethiopia Airways?... Sababu moja kuu ni kuwa mashirika hayo mawili na hasa Ethiopia Airways yana vibali vya kutua kwenye viwanja vya ulaya ambapo minofu inapelekwa, ATCL bado haijapata kibali hicho na ndio maana ya kupelekwa na ndege za mashirika ya kigeni.

Kuhusu kauli kuwa ndege za ATCL zimenunuliwa lakini zimepaki JNIA...,Kauli hii haina ukweli, ndege zile kubwa nimekuwa nikiziona mara nyingi tu, zikifanya safari za Dar - Mumbai - Lusaka, Dar - Guanghzo - Dar hata kabla ya baadhi ya nchi kuruhusu anga zao kupokea ndege za kigeni. ... Nadhani nitakuwa nimejaribu kukueleza kile ninachokijua.
 
Back
Top Bottom