Ethiopian airlines

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,109
16,681
kwanini hili shirika la ndege la Ethiopia wakiweka matangazo yao ya ndege kwenye mitandao ya kijamii hawaweki zile ndege wanaweka picha za wahudumu wao wa kike tu??

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
kwanini hili shirika la ndege la Ethiopia wakiweka matangazo yao ya ndege kwenye mitandao ya kijamii hawaweki zile ndege wanaweka picha za wahudumu wao wa kike tu??

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Halafu wahudumu wenyewe hawana hata mabawa..daaah inakera kweli

[HASHTAG]#LeoSijavutaBangi[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom