4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 8,585
- 7,571
Mkuu unaonekana ni mkabila sana , hatuezi ongoza nchi kwa misingi ya ukabila , kwann upaone maeneo ya waoromo ni muhimu kuliko kwa wa amhara au tigray ?Unakijua chama kilichomuweka Abbiy madarakani? Msimamo wao ulikuwa vipi dhidi ya Addis?
Pia unajua ni kwanini walifikia hatua ya kuidai Addis au walikurupuka tu from nowhere?
Hebu soma uone dhahama waliyoipitia na wanaoipitia waoromo kisa tu hawana nguvu za kupindua serikali kama Amharans na Tigrayans regardless ya contribution yao kwenye uchumi wa nchi.
Kuhusu kuidai Addis waache waidai tu kama serikali imegoma kuwapelekea maendeleo kwenye sehemu nyingine. Mekelle imekuwa maarufu na imeendelezwa kwa kasi baada ya watigray (Zenawi) kushika madaraka na kufanywa kuwa kitovu cha nguvu za kijeshi cha nchi lakini still imebaki mikononi mwa watigray sasa Addis kwanini isirudishwe kwa Oromo?
Pia mfano wako wa wazarami hauna mashiko, Tz hatuna majimbo wala tawala za kikabila hivyo tafita mifano inayoendana na mfumo wa kiutawala wa Ethiopia.