Wameshindwa kwenye coalition of the willing sasa wanatapatapa na Ethiopia, jamani mtuache sisi wabongo nyie endeleeni. Mambo ya miungano hasa na manyang'au hayatawezekana. Tanzania tulikuwa na nia hiyo tangu zamani lakini uroho na majizi ambayo yanataka kujificha kwenye jumuiya kubwa ambayo uwajibikaji wake ni kitendawili hauwezi kuliendeleza bara la Afrika. Wote wanaopigia debe huu muungano wanalipwa pesa nyingi na makampuni makubwa ambayo yanataka kuwa na wigo mkubwa wa kuwakamua walipa kodi wa hizi nchi masikini. Mfano Tanzania tulikuwa na mashirika makubwa kabisa ambayo yalikuwa yanaongozwa kwa faida ati yamekufa kwa sabau ya uroho wa viongozi. Hatuwezi kukubali ujinga huu yaani makampuni yote makubwa yawe chini ya Manyang'au then wafanye wanavyotaka na kodi za walala hoi. Kenya hivi sasa wanatapa tapa kwa sababu time is up na ule ujinga wao waliokuwa wanafikiri ni werevu.
Waliua mashirika yote ya EAC kwa visingizio leo hii ati ndio wasemaji wakubwa, what a joke. EA railways ilikuwa na mabasi reli nk wakaua kwa kujiona ni werevu, EA airways wakaua wakajiona ni werevu , harbours nk. waswahili tuna msemo wakati wa kwenda unakuwa mjinga sio wakati wa kurudi.
Watu wanalinganisha miungano ya Europe, kule sheria msumeno watu kama kina Kenyata hivi sasa wangekuwa jela kwa tuhuma lukuki zinazowaganda. Njia za mabeberu siku zote ni kuvuna wasikopanda.
Obo and company mjitahidi kutumia hizo pesa mnazohongwa kwenye familia zenu na wala msifikiri Watanzania wengi wamelala na wanafikiria jinsi ya kujitajirisha binafsi.
And in storms Wacha1 with the same old same old, tone down your font colour. Hata sitaingia tena kwa hizi siasa mingi za jadi. Fanya utafiti kidogo ungalie stats za EAC na demographic za nchi za Africa Mashariki, imejaa vijana wasioshughilika na siasa za jadi , ni economic opportunities ndio wanataka kwa vyovyote vile. Hio ndio sababu wanasiasa wanafanya haya niliyonukuu hapa chini huku wewe ukiwachwa pekee yako kama unavyotaka. " Uganda races to meet
Monetary Union date. DICTA ASIIMWE The East African. After months of dilly-dallying with the East
African Monetary Union (EAMU) Protocol,
the Uganda parliament finally ratified it on
December 16.
Minister of State for East African
Community Affairs, Shem Bageine said the
government will meet the revised deadline
of December 31. He said only the Foreign
Affairs Ministers signature was being
awaited for Uganda to deposit the
instruments of ratification with the EAC
Secretary-General.
Although the Ministry of Finance submitted
the motion in September, it came up on the
Order Paper on December 8 and MPs passed
it amid ambush claims.
READ: Uganda the odd man out as Kenya
ratifies monetary union
Remegio Achia, deputy chairperson of the
Budget Committee, expressed parliaments
concern at Uganda being part of the EAMU.
But MPs agreed that the concerns will be
dealt with during implementation.
Although we have in principle agreed and
passed it, we shall scrutinise the
convergence criteria when implementation
of the monetary union starts, Mr Achia
said.
Uganda was the last to ratify the protocol,
Kenya, Burundi, Rwanda and Tanzania
having already deposited the instruments of
ratification with the East African
Community Secretariat in Arusha.
Ugandas ratification will pave the way for
the implementation of the EAMU Protocol.
Mr Bageine said ratification by all partner
states means the region can finally start the
process to establish the East African
Monetary Institute. This will be the first
institution established by the protocol.
According to the schedule for the
realisation of EAMU, the region should next
year establish a monetary institute and
create an institution responsible for
surveillance, compliance and enforcement
by 2018. Other institutions to be up and
running by 2018 include one in charge of
collecting statistics and another responsible
for financial services.
The EAC will co-ordinate and harmonise
fiscal, monetary and exchange rate policies
by 2018 as a way to transit into a monetary
union. The Heads of State Summit signed
the Protocol establishing the EAMU in
November last year. "