Mkuu hapa watu wanaongelea uhalisia wa mambo na kazi inaonekana inafanyika.Kweli wenzetu wanaonekana wanafanya kazi, siyo serikali sikivu ambayo kila siku iko kwenye upembuzi yakinifu, mara watafanyia kazi, mara ufisadi..!!! Ikijengwa barabara kiwango cha changarawe ndiyo mtaji wa kuombea kura na taarifa itajaa makarabrasha.Nina imani kwa mwendo huu, hata hao wanaokimbia nchi yao iko siku watarudi nchini kwao.Ninyi endeleeni na serikali mbili.sio kila king'aacho ni dhahabu. waethiopia kila siku wanakamatwa hapa bongo wakiwa wanatoroka kwenda kutafuta maisha mazuri SA. Waethiopia wamejazana Saudi huko kama wahamiaji haramu, wamejazana yemen, wamejazana israel....sijui kwa nini wabongo wanaona raha kujiponda.
Bwana Ridculouz kama Ethiopia wameendelea kiasi hiki kwa nini daily waethopia wanakamatwa mara Dodoma,tanga na arusha tena kwenye viroba vya chokaa na kwenye matenga ya nyanya na wengine hadi kufa kwa kukosa hewa wakikimbia maisha MAGUMU?? Ethiopia?
ngoja waje wenyewe wakujibu waliokaa maeneo hayoMe naomba kuuliza tu mbona raia wa ethiopia wanakimbia nchi yao wanakufa kama wanyama safarini kwenda south africa.
Bora Tanzania raia hawakimbii nchi
Hawajipondi ila wanaona inauma fedha nyingi zinawekwa nje ya nchi kama hazina kazi vile si bora hao na umasikini wao wanatumia vizuri fedhasio kila king'aacho ni dhahabu. waethiopia kila siku wanakamatwa hapa bongo wakiwa wanatoroka kwenda kutafuta maisha mazuri SA. Waethiopia wamejazana Saudi huko kama wahamiaji haramu, wamejazana yemen, wamejazana israel....sijui kwa nini wabongo wanaona raha kujiponda.
Hawajipondi ila wanaona inauma fedha nyingi zinawekwa nje ya nchi kama hazina kazi vile si bora hao na umasikini wao wanatumia vizuri fedhasio kila king'aacho ni dhahabu. waethiopia kila siku wanakamatwa hapa bongo wakiwa wanatoroka kwenda kutafuta maisha mazuri SA. Waethiopia wamejazana Saudi huko kama wahamiaji haramu, wamejazana yemen, wamejazana israel....sijui kwa nini wabongo wanaona raha kujiponda.
Bole International Airport Adis ababa
Hawajipondi ila wanaona inauma fedha nyingi zinawekwa nje ya nchi kama hazina kazi vile si bora hao na umasikini wao wanatumia vizuri fedha
Mkuu hapa watu wanaongelea uhalisia wa mambo na kazi inaonekana inafanyika.Kweli wenzetu wanaonekana wanafanya kazi, siyo serikali sikivu ambayo kila siku iko kwenye upembuzi yakinifu, mara watafanyia kazi, mara ufisadi..!!! Ikijengwa barabara kiwango cha changarawe ndiyo mtaji wa kuombea kura na taarifa itajaa makarabrasha.Nina imani kwa mwendo huu, hata hao wanaokimbia nchi yao iko siku watarudi nchini kwao.Ninyi endeleeni na serikali mbili.
hayo matumizi mazuri ya ethiopia ndio yanayosababisha watu wake mamia kuhama nchi kila mwezi? tunayo matatizo yetu ndio, lakini hatujafikia hatua ya mamia ya watanzania kuhama nchi kinyemela kwenye malori.
Mi naona mjini hakufai maana ni kuchafu saana,mitalo inavuja maji machafu bola pembezoni mwa mji hewa safi fujoo hamnasafi..sijui Dar patabadilika..mana mhh foleni is trouble,naona solution ni kuhamia mjini tu