Ethical Hacking and penetration test

Hacking is more than just a word hack, VPN zinaweza kukupoteza pia, you can't be one in just a year, you need practice and you need community, community is better than those fucking pdf.
So how can I get community?
Zipo community kibao tu online, search for the best one.
Miaka ya 2012 tulikuwa na community nzuri tu hata kwa beginner ilikuwa inaitwa hackcommunity.com lakini badae bulldog aliyekuwa admin baada ya 1llusion akaiuza kwa oni, bila kujua jamaa anataka aimerge kwenye sinisterly.

Community Ilikuwa na watu wengi tena the best one with Eger to help others, I missed ma boy, psycho_coder, chmod, Coder_San n.k
Community zingine kuishi kama beginner n kazi kidogo kwhyo try to act ili ujifunze vingi, mana pro wengi hawapendi spoon feeders.
Kwa sasa community bora ni EvilZone.org
Ukiweza kusignup you'll enjoy.
 
Thanks
 
Ukitaka kufanya ethical haking lazima uijue vizuri kalinux, linux. Pia uwe deep kwenye cisco na networking kwa ujumla wake. Mi nlikuwa na vitabu 40gb pdf format nlitoka navyo bangalore nlikoenda kusomea mambo ya network security. Siku moja nafengeneza bootable pen drive, nikaruhusu bila kuangalia size wazee mkojo ulipita baada ya kugundua window 7 imekaa kwenye external yangu badala ya flash
 
external hdd instead of flash?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom