Ethical Hacking and penetration test

Ethical Hacking and penetration test

most people want to be a HACKER and they start on what language need to study or know to be a hacker...............but sad they miss onE or two point .....
what are they?
  • NETWORK KNOWLEDGE
  • OPERATING SYSTEM SUITABLE FOR HACKING eg, KALILINUX and BLACKARCH
je uko vizuri katika ivo vitu?
manake playground ya hackers today ni internet... ambayo bila kujua shells za linux ni kazi bure
pia hacking kuna OS zake sasa mtu ata kutumia linux hawezi lakini anataka awe hacker
 
Linux naweza kuitumia
 
ajira unayoi-wish kwa tanzania bado maana hata hawa white hackers tulionao TZ ni pro-ccm...i mean watoto wa wakubwa
 
Jifunze sql injection.....penetrations nyingi za webaite zinatumia sql injection ni vizuri ujifanyie penetration testing mwenyewe (pen test)
scripting languages(html, css,javascipt )
C,C++,C#, matlab na kuna vi frameworks and libralies kama jquery, bootstrap ivi ni scripting languages
Lazma uzijue
++This is for educational purpose only..I am not liable for any illegal actiona++
C# na Matlab za nini katika hacking?
 
Hacking is more than just a word hack, VPN zinaweza kukupoteza pia, you can't be one in just a year, you need practice and you need community, community is better than those fucking pdf.
So how can I get community?
 
Usimpoteze kijana, kumwambia soma C,C++,C# na Matlab. Hahaha duh!

Nashauri kama hujui kitu ni vema usijibu, hizo language zote asome unataka aanze hacking akiwa kazeeka? Matlab mtu anatumia kuhack nini hasa? language inayotumiwa na data scientists unataka mtu ajifunze ili atumie kuhack kitu gani?

Hapo labda asome C tu inatosha kabisa kudeal na system hacks zote, Python pia kudeal na web kirahisi zaidi, hivyo vingine ulivyoandika vimeprove kabisa hujui hata the first thing about hacking.

HTML, CSS sio scripting languages. Markup languages tu hizo. Na SQL Injection siku hizi sio big deal kama unavyofikiria, sites ambazo zinago-down kwa sql injection nyingi hazina maana zimetengenezwa na amateur developers.
Alafu mkuu kwenye embedded systems au IoT, C na C++ ipi inafaa zaidi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom